Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 4,197
- 14,890
- Thread starter
- #61
Very Happy what? Kamdhalilisha Mwanaume wake.Mm niliwahi kuwa out na jamaa angu wako na mkewe .walikuwa wanasimuliana stor hizo kwa uwazi mke wa jamaa alisema nikisikia kuwa ashapita na watu si chini ya 50 toka chuo hadi kukutana na jamaa .namshkaj alikuwa anawajua kama wa 5 hivi.na wana watoto 3 and very happy catholic couple
Wanaume wenye akili wanaoa kwa kuangalia past ya mwanamke na sio vyenginevyo. Jamaa yako kama kaoa hilo kulumbembe basi kajibebesha mabomu ambayo anytime yanalipuka
