Mapenzi kwa ndege

Hii picha imenifanya nikumbuke enzi zangu nilipokuwa nafuga njiwa
 
Ni dawa nzuri sana kwa watu wenye ma-stress.
 
Ina mana hao njiwa hawaogopi kuliwa jaman?!Hapo siwanamrahisishia mtu kuwakamata na kuwala!!!???
 
Me nawapenda wale kama wamevaa soksi miguuni wanaitwaje?
Jina limenitoka nikikumbuka ntakutajia.

Kwa haraka haraka majina ya njiwa ninayoyakumbuka ni sanaa, kalakala, chokichoki, kombokombo, tizeti na wengine majina yamenitoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…