Mapenzi kama Njaa...!

Leo threads za ukweli zipo wap? HII HAIELEWEKI. Ngoja nilale. G9t BW. MBU!
UNATUCHANGANYA SANA!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Public Apology.

Wakuu, am deeply sorry kwa wote mliokwazika na picha ile ya kichanga.

Kwakuwa lengo, nia na madhumuni hayakueleweka kwa wengi,
haliondoi Ukweli
"mwenye shibe kakinai, ...amjuaje mwenye njaa?"

Tusiukatae Ukweli kwakuwa hatuupendi.

Mbu.
 
Public Apology.Wakuu, am deeply sorry kwa wote mliokwazika na picha ile ya kichanga.Kwakuwa lengo, nia na madhumuni hayakueleweka kwa wengi, haliondoi Ukweli "mwenye shibe kakinai, ...amjuaje mwenye njaa?"Tusiukatae Ukweli kwakuwa hatuupendi.Mbu.
Afadhari umeomba msamaha bwana, uliyoyaandika na picha ile their true quite irrelevant bwana duh! Nadhan ungefafanua hata ktk ile picha kusinge kua na tatizo. Ucjal MBU, YOUR APOLOGY IS ACCEPTED, BE WITH PEACE AND IT WIL BE GOOD IF U WIL COME UP WITH A NEW THREAD. Mimi ni fan wa threads zako, ktk hii nimeshinda changia, nimebaki kukulaumu! Poa kaka!
 
ha ha ha,

Gagurito usijali mkuu,
I hope hukukaota kale katoto kanakulilia njaa.

Peace be upon you!
 
Mbu huwa najua wewe ni JF Moderator.
Maswala ya luv love lavu yanachanganya sana ..ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe
 
Dear Blood Donor!":pray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe...":mwaaah::A S-heart-2:
MJ - 'Liberian Girl!

:bange::phone:
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Dear Blood Donor!":pray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe...":mwaaah::A S-heart-2:
MJ - 'Liberian Girl!

:bange::phone:

...ha ha ha!

hivi, mbona umekuwa mchokozi hivyo? ...:phone:...usi 'beep!' bana!
 
Mheshimiwa Moskwito..... umeona ulivyoitoa ile picha kina dada wamefurika hapa kuchangia hii sredi?......... watu wanaogopa njaa kuliko mapenzi....

"Dear Blood Donor
!":pray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe..."
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

MJ1 - 'Liberian Girl!'

Na hiyo red kwenye signature yako, kumbe Mwanajamiiwani ni Liberian girl? LOL
Nimeuliza tu, ntarudi baadaya kuchungulia kama umenijibu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mheshimiwa Moskwito..... umeona ulivyoitoa ile picha kina dada wamefurika hapa kuchangia hii sredi?......... watu wanaogopa njaa kuliko mapenzi....

....ha ha ha, naona bana,

watu wanaogopa Kwashiokor ya mapenzi.
"Mgonjwa haulizwi uji!"

"Dear Blood Donor
!":pray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe...":mwaaah::A S-heart-2:
MJ1 - 'Liberian Girl!'

Na hiyo red kwenye signature yako, kumbe Mwanajamiiwani ni Liberian girl? LOL
Nimeuliza tu, ntarudi baadaya kuchungulia kama umenijibu.

...AAAH! ...ha ha ha! ...sasa nimekusoma na kukusikia kwa sauti kubwa! acha tu niimbe kwanza...!

Mwj1... ♫ ♫
You came and you changed my world
A love so brand new
Liberian girl...
You came and you change me girl
A feeling so true

Mwj1... ♫ ♫
You know that you came
And you changed my world,
Just like in the movies,
With two lovers in a scene
And she says...
"Do you love me"
And he says so endlessly...
"I love you, Liberian girl"

♫ ♫....
 
Kweli bwana njaa haichagui chakula,ukiona mtu anachagua chakula ujue huyo anahamu na si njaa ndio maana mtu akiwa na njaa ya mapenzi hachagui kikongwe wala kichanga vyote pwani tuu!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kweli bwana njaa haichagui chakula,ukiona mtu anachagua chakula ujue huyo anahamu na si njaa ndio maana mtu akiwa na njaa ya mapenzi hachagui kikongwe wala kichanga vyote pwani tuu!!

....LOh? astaghafirullah... Totally out of context,...bora nirudishe picha ya yule kichanga labda utajiskia vibaya.
ha ha ha!
 
ha ha ha, Gagurito usijali mkuu,I hope hukukaota kale katoto kanakulilia njaa.Peace be upon you!
Ile Movie ya Angelina Jolie "BEYOND THE BORDER" umebahatika kuicheki mkuu? Km bado itafute! Mpiga picha wa huyo mtoto aliyeliwa na tai alipata umaarufu sana kwa kazi yake, siku anapresent ile picha wakamwuliza MTOTO YUKO WAPI? Mwandishi hana jibu, wakaanza kumkosoa, jamaa aliporudi home AKAJINYOONGA. Angeline yeye alionyesha utofauti, alimchukua yule mtoto, akampa matibabu so akawa ameokoa maisha ya mtoto!
 
Mheshimiwa Moskwito..... umeona ulivyoitoa ile picha kina dada wamefurika hapa kuchangia hii sredi?......... watu wanaogopa njaa kuliko mapenzi....

"Dear Blood Donor
!":pray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe..."
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

MJ1 - 'Liberian Girl!'

Na hiyo red kwenye signature yako, kumbe Mwanajamiiwani ni Liberian girl? LOL
Nimeuliza tu, ntarudi baadaya kuchungulia kama umenijibu.

Babu ...................unadaiwa ada nini? mboma unatafuta mahari kwa nguvu?

....ha ha ha, naona bana,

watu wanaogopa Kwashiokor ya mapenzi.
"Mgonjwa haulizwi uji!"

...AAAH! ...ha ha ha! ...sasa nimekusoma na kukusikia kwa sauti kubwa! acha tu niimbe kwanza...!

Mwj1... ♫ ♫
You came and you changed my world
A love so brand new
Liberian girl...
You came and you change me girl
A feeling so true

Mwj1... ♫ ♫
You know that you came
And you changed my world,
Just like in the movies,
With two lovers in a scene
And she says...
"Do you love me"
And he says so endlessly...
"I love you, Liberian girl"
♫ ♫....

............Phweeee!.........Asa mbona kama hacra zinanpungua......au ndo naanzaingia line?!
Kama uko tayari kupoteza hiyo 'precious Pearl' yako....niko tayari kukupokea. ....mradi tu uje na uthibitisho wa kivunja uchumba!
 
Babu ...................unadaiwa ada nini? mboma unatafuta mahari kwa nguvu?............Phweeee!.........Asa mbona kama hacra zinanpungua......au ndo naanzaingia line?! Kama uko tayari kupoteza hiyo 'precious Pearl' yako....niko tayari kukupokea. ....mradi tu uje na uthibitisho wa kivunja uchumba!
...mmmhhh,...mantahofu...huyu mke mwenzio ni "mwajiriwa" wa RITA, Kasema jioni ataniletea...Lol!
 
Public Apology.

Wakuu, am deeply sorry kwa wote mliokwazika na picha ile ya kichanga.

Kwakuwa lengo, nia na madhumuni hayakueleweka kwa wengi,
haliondoi Ukweli
"mwenye shibe kakinai, ...amjuaje mwenye njaa?"

Tusiukatae Ukweli kwakuwa hatuupendi.

Mbu.

That is so brave and humble (asante kwa kujali fikra zetu) of you kutoa apology but i think hata most of us members tulishindwa kukuelewa maana naona sasa MMU tumelenga saana mapenzi yahusuyo ngono to the extent mtu akitupa post ya mapenzi tunakimbilia tunakopenda ... Nilipoona post ikieleze mapenzi kama njaa i was disturbed kuona picha but saizi ndo nimetafakari kua you have cleared up the air.

Back to Topic

Mapenzi na hio picha.. ukweli ni kwamba mpaka that angel amefika hapo ni kutokana na uhaba wa mapenzi ya kweli na dhati kati ya watu na watu, kabila na kabila, taifa na taifa na all the related issues concerned in completely disrupting amani katika jamii husika.. it is saddening hasa ukizingatia kua kweli yapo na most ya waathirika ni fellow neighbors of ours... Mapenzi is the key to all happiness in our life...
 
Back
Top Bottom