Mapenzi kama Njaa...!


Public Apology.

Wakuu, am deeply sorry kwa wote mliokwazika na picha ile ya kichanga.

Kwakuwa lengo, nia na madhumuni hayakueleweka kwa wengi,
haliondoi Ukweli
"mwenye shibe kakinai, ...amjuaje mwenye njaa?"

Tusiukatae Ukweli kwakuwa hatuupendi.

Mbu.

Huo uzalendo na umefanya la maana!..

Honestly, hii thread ina maudhui mazuri sana ambayo wewe ulidhamiria kufikisha ujumbe kwa hadhira. Lakini ile picha haikuendana kabisa na hii mada.

Njaa ya mapenzi unayoongelea kulinganisha na ile picha ilikuwa ni kitu kibaya..Yule mtoto anaweza kuwa alipewa mapenzi yote na wazazi wake/familia ila hali ya duni ya maisha ndiyo imemfanya vile!..

Binafsi sijakataa ukweli ila mada na ile picha havi-reflect ukweli maana ulijichanganya..Ni vyema unakubali kukosolewa tena with a +ve mind!!Peace
 
Back
Top Bottom