Mapenzi kama Njaa...!

yaani ulijuaje mapenzi kama njaa,aisee inaonyesha unapenda sana,bt ni kweli kama cku ikipita bila kumuona au kuongea nae japo ata kwenye cm unakuwa kama unataka kushiba,nimekukubali m2 wangu

sometimes the vice versa is true,
inafika jioni sasa urudi home ukitokea kwa ofisi , unaanza kujiuliza ntaingiaje home,
ntamkuta katika hali gani, asubuhi ilikuwa balaa sasa hii jioni sijui hali itakuwa imezidi kuwa mbaya........?
ni kweli mapenzi ni kama njaa, lakini ukikosea steps tu, basi mapenzi yanaweza kuwa ni balaa...............
 
Nimependa hicho kiswali cha kwenye mabano! Kuna watu wanaweza kuvumilia yote (hata umalaya) lakini sifa yao kubwa wanakuwa wamekuchoka to the extent kwamba hata ashuhudie umemkalia jamaa yeye hajali. Ukimpenda sana mtu utavumilia mengi isipokuwa umalaya lakini ukimchoka saaaana unaweza kuvumilia kila kitu. At least that's what I have learnt from various incidences.

Inshaallah kheri.

Remember hakuna bin/t Adam aliyemkamilifu. Tuvumiliane, tupendane, tutunzane, tuenziane, tuthaminiane kwa hali na mali, kwa shida na raha, dhiki na faraja, magonjwa na uzima, ka ukali na upole, ukarimu na uchoyo, uzazi na ugumba, uerevu na ujinga, (na hata umalaya?).
 
...mapenzi kama njaa,
Kwenye njaa utawakuta walafi na waroho,
Hao hata wale vipi hawatosheki

Thx Analyst kwa upembuzi yakinifu.
 
...tafakari

love_quotes_the_hunger_for_love.jpg


....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!



I'm so confused na hiyo picha mkuu!!..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu Mbu, hii kweli inahitaji tafakari kubwa.

Nadhani si issue ya kutolea maoni haraka haraka pasipokutafakari kwa undani. Kuna rafiki yangu mmoja anadai kafa moyo wa kupenda watu na anasema angejua raha ya kupenda fedha tangu utotoni basi asingejiingiza katika mapenzi kwa binadamu milele. Mie nilimtania kuwa hata kupenda fedha sana ni kupenda pia akacheka saana.

Hapa jamvini ningeomba unieleweshe kitu kimoja. Haya mapenzi unayozungumzia ni ile hali ya mtu kuhitaji kitu, kutaka kuwa nacho karibu+kukimiliki na kukitumia kupata furaha zaidi ambayo itafit hata kwenye fedha au unazungumzia mahusiano kati ya watu?
Nisamehe kwa kuwa too philosophical lakini naamini mahusiano ya watu (mapenzi) hayafanani na njaa kwa kiasi kikubwa kwa kuwa njaa ikizidi mtu hatafakari mara mbili anapoona chakula lakini mapenzi kuna watu wanasita na wengine wanaamua kuringa tu hata kama wanataka sana, wengine pia huamua kuchelewa kuyapokea yanapotokea kitu ambacho hakitokei sana katika mazingira ya njaa....Just rying to ponder about this issue..!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
...Analyst, umetoa tafakari pana. Kidogo kidogo tutaeleweka. Kwa wale wasoelewa wafikirie na hili;

Mwenye njaa hana miiko, ila akishavimbiwa na kukinai ndio huja na vijisababu vya ladha, kiwango, uasilia, ubora na mengineo ya maudhi.
 
...tafakari

love_quotes_the_hunger_for_love.jpg


....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!



mkuu hii picha dah imeniumiza sana, kamwe huwezi fananisha na mapenzi ndugu yangu, imagine huyo mtoto ni wewe ndugu yangu, mapenzi unaweza enda kwa jirani mkaongea akakushauri some how ukafeel better, be under this kid shoes ndugu, where will u have even strength to move? where will you even seek advices? I have seen these things and I have experienced both LOVE and NJAA..think you were young example 84 for who raised up in VILLAZ know...
 
Kama naanza kuupata uelekeo sasa.

QUOTE=Mbu;2108582]...mapenzi kama njaa,
Kwenye njaa utawakuta walafi na waroho,
Hao hata wale vipi hawatosheki[/QUOTE]
 
...tafakari

love_quotes_the_hunger_for_love.jpg


....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!



Duh! Picha hii inasikitisha sana. Unaweza kuangusha mchozi. Wapendeni wanenu jamani tena kwa mapenzi ya hali ya juu!
 
Mi niharakishe tu kusema kwamba ndugu yetu Mbu hapo ulipopata, pashikilie hapo hapo usipaachie.....nadhani kama ni njaaa, ilikuwa imekushika haswa, ila sasa hivi umepata chakula, unakila kwa utaratibu, angalau umekumbuka kwamba kuna wengine wanaweza kuwa na njaa vile vile, ndo ukatukumbusha: Mapenzi kama NJAA!
 
Mnh, shantel bana, 'ukame na njaa..wazazi wamejitahidi lakini imeshindikana..!' thts deep!
 
...tafakari

love_quotes_the_hunger_for_love.jpg


....huwezi jua thamani ya mapenzi mpaka uyakose!


Mtoto alivyo na hamu ya chakula wakati ambao hakipo, plus upweke alionanao with the loss of hope to survive vinawiana na statement ya mwanzisha mada.
Tafadhali pia naomba watu wanaotumia picha za namana hii ku-convey message zao wawe wanaomba msamaha kwanza, ziko very disturbing!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom