Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

pengine aliona hujui kuandika ndio maana anakufanyia hayo sijui una maumivu kwenye vidole wakati unaandika
 
Nu hali ya mpito tu..utapenda tena na utaumizwa tena na tena
 
Wakuu naomba niwaambie kitu kama umesoma uzi hujauelewa usi coment chochote utaratibu wakukosoa kilicho andikwa sijamaind huo ni ufala mi kama thread siielewi huwa sikoment ufala. Sasa nashangaa wanao kosoa sometime ni typing error za smartphone ewe unae nikosoa acha usenge kama uwez koment pita hv.
 
Pole sana kwa majanga yaliyokupata lakini hutakiwi kukata tamaa bali unatakiwa kujipanga upya utafute mwingine maisha yaendelee.
Thank you brother bora hata nyie kuliko hawa mabwege wanaosema muandiko muandiko
 
Hebu fikiria, mleta mada ni mwalimu. Hao wanetu anawafundisha nini kama yeye anaandika hivi?
Kwataarifa yako mi sio teacher nilinogesha tu story mi ni CO, kwahyo CO na muandiko wapi na wapi?
 
Pole sana, waamini wanaume sasa, ikibidi na kuwaoa pia utakuwa umejiepusha na hilo.
 
Baba huu mwandiko ndio ule tunaita mcharazo au?????
 
Back
Top Bottom