Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Grau

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
4,828
Reaction score
4,736
Nafikiri nilikuja na maada hapa kuwa yule mwanamke niliyehitaji kumtambulisha home ambapo mama yake aligoma mpaka nimlipie mahali kumbe sijui walikuwa wanalisuka na mama yake wale pesa yangu?

Mwisho wa siku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nina mimba yako ili tu nitume pesa! Duh nikashtukia mchezo nikamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kuna siku akanambia nimtumie mtonyo aje huku' kwa jinsi nilivyo muhitaji nikatuma akaanza visingizio mara mama kachukua mara gari limemuacha.

Siku moja ilibidi anifunulie kuwa ana mpenzi wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukweli huwa silazimishi love nilimuacha japo iliuma, kwa sasa nimeamua kuwa single.

I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.

Kwa uandishi wako huu, hujawa tayari kuoa. Bado uko shule. subiri kama miaka 8 mpaka kumi ndipo usake mchumba!
 
Never trust a wrong woman. Mwanamke anapoanza ku play games.. dump her.. ukiona mapichapicha dump her.. anakuletea viswahili vingi dump her..
No time for games man. Jifunze kuhisi hatari mapema kabla hayajakutokea
Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
KARIBU NDANI YA LIFE YA WAGUMU A.K.A WAPINGA NYETO AU WAKATALIWA NA MADEMU ATA WABAYA AU WATONGOZA SANA BILA YA MAFANIKIO KWA JINA JENGINE WAJAZA PICHA ZA MADEMU WA INSTA
 
Never trust a wrong woman. Mwanamke anapoanza ku play games.. dump her.. ukiona mapichapicha dump her.. anakuletea viswahili vingi dump her..
No time for games man. Jifunze kuhisi hatari mapema kabla hayajakutokea
And likewise dia,.never trust a wrong man.
 
Never trust a wrong woman. Mwanamke anapoanza ku play games.. dump her.. ukiona mapichapicha dump her.. anakuletea viswahili vingi dump her..
No time for games man. Jifunze kuhisi hatari mapema kabla hayajakutokea
Nlikuw nmemuhc hvyo nkaacha jibu sms zake wala call cpokei alvo ona hvyo akaamua nitext hvyo sijaandka vitu ving coz maada ingekua ndefu hvyo nmepga short ilete radha.
 
Ramba majivu ila baada ya kufuturu, lakin cku hizi hili jukwaa limevamiwa sana.
Sasa kama Wasukuma nao wanajadili na kushauri masuala ya mapenzi hamuon hlo ni tatzo?
Hizi mada mbona zinakuwa nyingi sana humu hadi zinaniletea kiungulia
 
KARIBU NDANI YA LIFE YA WAGUMU A.K.A WAPINGA NYETO AU WAKATALIWA NA MADEMU ATA WABAYA AU WATONGOZA SANA BILA YA MAFANIKIO KWA JINA JENGINE WAJAZA PICHA ZA MADEMU WA INSTA
[emoji23][emoji23] asant
 
Now nmekuw mzee wa hit n run
 
Back
Top Bottom