Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Dah! Kama ni hivyo uache tu mkuu!
Kilicho niuma nikuw nmewaambia wazaz nakuja na mchumba ili tutoe maali mwisho wasiku ndo hvyo mpk sasa naogopa hat wapgia sim wazaz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo kwenye easy ulimaanisha essay?
Nyie watu wenye elim ya darasa la saba wasumbufu mno lakn limtu lililo soma linaelewa direct are u mania or schizophrenia right?
 
Mwanamke ni kama maji kama hujayaoga utayanywa tu yakizidi baridi yapashe kidogo mkuu
 
Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Ah huyo msista mbona hajakufanyia vitimbi asee umekata tamaa na wanawake hivyo. Kuna wanawake wamekubuhu huyo chamtoto tu hajakusumbua endelea kuwaamini
 
Ah huyo msista mbona hajakufanyia vitimbi asee umekata tamaa na wanawake hivyo. Kuna wanawake wamekubuhu huyo chamtoto tu hajakusumbua endelea kuwaamini
Mkuu sijaandka maneno mengi yaan hayo alyo nifanyia nimefupisha mkuu yaan alnitumia had sms za kunikashfu na mambo kibao
 
Samahani mkuu kwa kutumia lugha kali. Nisamehe ila huyo hakua wako tu
Namimi nmeamua nmteme coz cwez force, yaan mpaka sasa kunadem ananiletea shobo namchek tu sina ham kabisaa.
 
Back
Top Bottom