chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,150
- 2,354
Acha umamaNa wewe uache kumsumbua mleta mada. Umesababisha mpaka hawaamini wanawake wenzio. Kua mke mwema!
Acha umamaNa wewe uache kumsumbua mleta mada. Umesababisha mpaka hawaamini wanawake wenzio. Kua mke mwema!
Wanaogopa mizinga ya sikukuu, wanaanza kujiweka pembeni mapema ili zile meseji za "baby Eid tutaenda wapi halafu nguo sina jomoniii[emoji17]"Hizi mada mbona zinakuwa nyingi sana humu hadi zinaniletea kiungulia
[emoji23][emoji23]Wanaogopa mizinga ya sikukuu, wanaanza kujiweka pembeni mapema ili zile meseji za "baby Eid tutaenda wapi halafu nguo sina jomoniii[emoji17]"
Ngoja sikukuu zipite utaona nyuzi za kusifiana zikitrend.
Ukikosa chakuandika kaa kimya fala ww.
Tulichukua mda mno ndo tukapelekana sio kwamba tumekutana papo kwa papo.Heee! Mkuu,jambo nimelinotice uko inexperienced when it comes to women, mkuu wenzio wana date kwanza kwa muda na girls kabla ya ku ‘settle down ‘’ sio umekutana na mwanamke njiani kesho unampeleka kwa wazazi, ndio maana huyo dada kakuona wakuja lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaogopa mizinga ya sikukuu, wanaanza kujiweka pembeni mapema ili zile meseji za "baby Eid tutaenda wapi halafu nguo sina jomoniii[emoji17]"
Ngoja sikukuu zipite utaona nyuzi za kusifiana zikitrend.
Tulichukua mda mno ndo tukapelekana sio kwamba tumekutana papo kwa papo.
Hapana ndo hvyo sikukulupuka dada lakn huo uz nilifupisha tu kwan nilkuw naingia job in short mi nilikuw napga kaz mjini na nilkuw nae baada ya hapo tukawa tunaendelea ku date baadae nkahamishiwa kijijin, baada ya miez kama minne hv ndo nkaenda kujitambulisha na kwetu wakahitaji aende, sema hyo thread hukuielewa coz niliiandka wakat naingia job.Wewe tudanganye mkuu lol
Nikwel mkuusiyo mwanamke tu yaani kiufupi usiweke imani kubwa kwa binadamu yeyote yule hata kama akawa mzazi wako au mwanao sababu leo hii watoto uua wazazi sababu ya mali na wazazi vile vile uua watoto wao sababu ya kupata mali..."kama hakuna binadamu mkamilifu kwanini umwamini binadamu kwa 100%"
kuna wakati unafika inabidi uache kulialia, binafsi kwenye hatua za uchumba izi sinaga moyo wa kulia lia, ukijichanganya sina time naweweItabidi na mm nikuige mkuu nmepoteza hope kabisaa.
[emoji23][emoji23][emoji23] wasukuma wakuje huku