Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Pole sana
 
Bado utaandika nyuzi nyingi kama riwaya za shigongo!
 
Ramba majivu ila baada ya kufuturu, lakin cku hizi hili jukwaa limevamiwa sana.
Sasa kama Wasukuma nao wanajadili na kushauri masuala ya mapenzi hamuon hlo ni tatzo?
😂😂😂😂😂😂Kwa hyo mkuu unashauri kuwe na jukwaa la wasukuma?
 
Kinachouma ni fedha ulizotuma bila kula mzigo vya kutosha .ila ingekuwa umekula mzigo vyw kutosha ungeona kawaida tu.
 
Hebu fikiria, mleta mada ni mwalimu. Hao wanetu anawafundisha nini kama yeye anaandika hivi?
 
Yaan mzigo nmeula mpak nkataka ukimbia
 
Hebu fikiria, mleta mada ni mwalimu. Hao wanetu anawafundisha nini kama yeye anaandika hivi?
Hahaaaa kwan hujaelew nn? Au ultak niandke step by step? Au ni easy?
 
Back
Top Bottom