Mapenzi haya sitamuamini mwanamke hata siku moja

Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Woman including your mother and sisters??
 
Kwa mwandiko huo alishakuona wewe demu mwenzake kaenda kwa wanaume wanaokaza mwandiko.

Acha upoyoyo
 
Huyo ndie mwanamke kaka,mwanamke ni kiumbe hatari sana zaidi ya Simba jike.
 
Woman including your mother and sisters??
Don't compare my mother with other bad women, they cheated me i hate them. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mwandiko huo alishakuona wewe demu mwenzake kaenda kwa wanaume wanaokaza mwandiko.

Acha upoyoyo
[emoji23][emoji23][emoji23] itakua kaenda kwa dem mwenzie
 
Kwataarifa yako mi sio teacher nilinogesha tu story mi ni CO, kwahyo CO na muandiko wapi na wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Basi tunakoelekea utasema unawaamini wanawake ila hapa ulinogesha tu story!

Kua na amani mkuu, usichukulie serious sana comments za JF. Utakasirika na kutoa matusi wakati mwenzio upande wa pili anacheka tu!

Life is too short to be salty!
 
Kwamba mpaka zinakuletea heart burning[emoji23][emoji23]
Mama yangu aliwahi kusema ukimuambia binadamu mwenzio kuwa anakutia kichefuchefu haileti picha nzuri na anaweza hata kukushtkaki, we mwambie unanitia kiungulia
 
Poles sana
Mbona toka mwanzo alishakuonyesha hakuhitaji sema wewe tu hukumwelewa.
 
Nikwel mkuu namm nililielewa hilo ndio maana nkawa sijibu sms zake sema tu nmeandika kwa kifupi coz nilkuw nawah job.
 
Back
Top Bottom