Utashauri ataupata jela hana adabu huyo asijifiche kwenye mambo ya kisaikolojiaAnahitaji ushauri zaiidi kuliko vitisho
Ani ekiselenti kwesheniUnaoa kutafuta nini lakini.
Siku ikikutokea ndo utajua ....Kila mtu Ana maana yake ya hekima na busara yakwako inaweza kuwa kunyamaza Ila wengine mpaka kielewekeBaba mkwe alikua sahihi kuvunja hiyo ndoa ... Kijana hana busura, heshima na hekima hata kidogo inshort kijana hajastaarabika bado.
HahahahaSiku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache.
Ila hajataja mtuKijana hajui hayo ni makosa ya kimtandao ngoja afungwe ndio apate akili.
Na baba mkwe kavunjanje ndoa?
Kichwa cha habari: penzi la muendesha bajaji lazama katikati ya mafuriko ya jangwani.
Yes hajataja ila ni kijana hana adabu mkuu na yeye ndio ana kosa sijawahi ona mtu anagombana na baba mkwe, aeleze two sides of the same coin, wamegombana why aanze kumzalilisha kwa watu, na ku post status, while watu huwa tunagombana huwa hatupostiani mitandaoniIla hajataja mtu