Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

Hamna kesi hapo Babalevo kuna kitu kakiongea hapo mwishoni listen carefully
 
Nakuuliza tena,ukijisifu mbele ya camera ulifaulu kwa cheating chuo hakijajua...na unajua kwa mujibu wa sheria cheating ni criminal.
Huoni kuwa chuo cha Ardhi kinaingia kwenye kashfa nzito juu ya wahitimu wake, Taifa na Dunia kwa ujumla kuhusu wahitimu wanaozalishwa chuoni hapo?

wewe unaona hiyo ni kawaida kabisa?

Kwahiyo ukifanya criminal ukahojiwa ukasema nilifanya kiki unaachwa unatembea zako ?

Sukununu kajitengenezea kiki kama wewe na wewe boya umeingia kwenye mtego wake.

Kamasi toka lini likawa tusi?

Ndo maana nakuuliza dr mangungo kichwani umejaza kamasi mpaka hili linakushinda kuona?
 
Ukiwa na furaha sana au hasira kuwa makini sana na maneno utakayotamka.
Hao kitakachowasaidia serikali yetu inapenda kuficha mazaifu yao sana, utasikia "tumefanya uchunguzi tumegundua hao mapacha wamedanganya, mifumo yetu ni imara sana hakuna anaeweza kumfanyia mtihani mtu mwingine hata mfanane kama IST"
 
hakuna lolote hapo. Hiyo ni hearsay na wala haiwezi kuwa na nguvu za kisheria kuweza kuwafutia digrii zao. Kama mlishindwa kuwasimamia wakati wa mitihani, kaeni kimya.

Mapacha walikuwa wananipa shida sana darasani kwangu kiasi kuwa baadaye niligungua namna ya kuwakamata. Katika kila mapacha wawili, mmoja wao huwo siyo msemaji sana. Ukishajua hivyo basi unahakikisha unaijua registration namba ya huyo ambaye siyo msemaji, kwani ukimbana huwa siyo siyo mbishi sana,
 
Habari Lukubuzo!
Kwanza kabisa Cheating sio Criminal.
Napata wasiwasi kama kweli unajua Sheria hata kidogo au Hata ile Ya Ngumbaru kama mimi..

Nakubali Kichwani Nimejaza kamasi lakini Siwezi kufika Mahali Nikasema Cheating is Criminal.

Kuna Tofauti Kubwa kati ya MisCONDUCT/Displinary Offence na Criminalism..

Nenda kajifunze kuhusu Hivyo..

Kwa leo nitakuelekeza kuhusu Misconduct ya Cheating..

Misconduct ni kuvunja Taratibu (Code of conduct) zilizowekwa na Chuo au Pia unaweza ukaita ni Displinary Offence (Uhalifu wa kinidhamu)..

Sasa Displinary Offence na Code of Conduct haiwezi kumcriminalise Mtu ila ina mDishonor (Kumuondolea Heshima aliokuwa nayo)..

Kwa mujibu wa Code of conduct za Ardhi..
Kifungu cha 8.8 kifungu kidogo cha 1 na 2 hapo utajifunza maana ya Code of conduct..

ila ukisoma 8.8[3](i) utaelewa kosa walilofanya Wale Mapacha..


Shukrani na Karibu
 
That is unethical but not criminal.

Lakini ukitazama kwa angle nyingine holistically.

Kuna kosa la jinai impersonation.

Sijui kama utanielewa ama nimwage nondo zaidi
 
Ni ngumu kudhibitisha,un less chuo wa vidéo za CCTV. Halafu hao mapacha si wapumbavu,watajibu si kweli na walikuwa wanapamba content tu ili kuvuta hisia za watu.
Eti majitu mazima yamekaa yanasema yanataka kuchunguza, sasa yanachunguza nini hapo? Badala ya kufanya mambo Mengine
 
That is unethical but not criminal.

Lakini ukitazama kwa angle nyingine holistically.

Kuna kosa la jinai impersonation.

Sijui kama utanielewa ama nimwage nondo zaidi
Nakubaliana na Wewe kabisa kwamba it was Unethical na sio criminal..

Na nakuelewa Unaposema kuwa Inaweza ikawa kosa la jinai la Impersonation..

Sasa katika kosa la Impersonation inategemea na mazingira ya ufanyaji wa kosa..

Najua unazungumzia Penal Code (Kanuni ya Adhabu ya makosa ya jinai) Kifungu cha 369 mpaka 374..

Lakini usisahau kuwa Ardhi University Kupitia Displinary Commitee ni Quasi-Judicial bodies.

Hivyo kupitia Sheria zake za chuo wanao Uhuru kutatua kesi hizo kwa mujibu wa code of conduct walizoziweka na pia wana Procedure of Displinary Hearing na Inafahamika kisheria..
Kwakijitabu chao ni 8.9,8.10 na 8.11..

Kwa Sheria ya Makosa ya Jinai (Penal Code)..Niliyoweka hapo juu Sorces..


Na kwa University prelimnary Judicial Procedure ni 8.9,8.10 na 8.11..
Hizi ni BAADHI..



Shukrani Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…