Maonyesho ya mavazi

Hawa ndio siwapendi zaidi,Hijab na Ze nyagi pembeni,wallah namwitia wazee wa uamsho waitishe maandamano kwa kuzalilisha vazi....

Kwani mimi nikiwa nyumbani kwangu hivi kuna shida gani St. Paka Mweusi

mnampenda.jpg
 
Siku zote huwa napenda kujua yaliyomo kwenye vichwa vya hawa wadada wanaoweka picha za namna hii kwenye mitandao......

Ndio maana siku hizi wanaliwa kama kuku yaani kama unakumbuka enzi zetu ilikuwa kumtokea demu lazima ujipange na unaweza kuambulia patupu kama hujui mashairi ya juwata jazz band, lakini siku hizi hata huna haja ya kutongoza unaangusha tu kama mlevi na wengiwao hata chuchuba hawavai so simple yaani test ya mapenzi imepungua kama nguvu za kiume kwa baadhi ya vijanaa maana ukitembea mjini mchan mzima unaweza kuwa unavunja amri ya sita ukirudi nyumbani jioni hakuna jipya chini ya jua maana yote umekuwa ukiyaona toka asubuhi na mchan mzima
 
Nilivyosoma hapo nilitaka kuruka kwa hasira lakini nilipoona umesema baadhi roho ikatulia,ila uliyosema ni kweli tupu,wengi wa wasichana siku hizi mawazo yao ni kuvutia ili wapate walionazo na kuishi good life.Lakini wanasahau kuwa wengi wenye good life wameifanyia kazi na kwa walio nazo bila kazi ni wachache sana.Na hii ndio sababu unakuta wanabanana kwa mwanaume mmoja hata kumi ili tu wapate japo kidogo kitu but at the end of the day wanajikuta watumiaji wa ARVs feki...
 
Say it again..?? Lait ungeniona nilivyochoka wala usingechat na mimi..

Kwanini unajidharau hivyo mkuu unahijati ushauri nasaa na vipimo.
hii itakusababishia kujirudisha nyuma kimaendeleo yaani utakuwa na mawazo kuwa kuna mambo ambayo wewe hushtahili pengine yako kwaajili ya watu fulani.

Yo are the hero, champion and the star of your own
 
Mmmmh,I like this one......
 
Nilivyosoma hapo nilitaka kuruka kwa hasira lakini nilipoona umesema baadhi roho ikatulia,ila uliyosema ni kweli tupu,wengi wa wasichana siku hizi mawazo yao ni kuvutia ili wapate walionazo na kuishi good life.Lakini wanasahau kuwa wengi wenye good life wameifanyia kazi na kwa walio nazo bila kazi ni wachache sana.Na hii ndio sababu unakuta wanabanana kwa mwanaume mmoja hata kumi ili tu wapate japo kidogo kitu but at the end of the day wanajikuta watumiaji wa ARVs feki...

Its good that we have this fake ARVs.

What Do you think?,
 
Its good that we have this fake ARVs.

What Do you think?,

I m very sorry,ila kwangu mimi sioni umuhimu wa ARVs,kwani hizi ndio zinazowapa muda baadhi na kuwapa sura za kuvutia kama ni wazima kisha wanaueneza zaidi,ni bora kama tiba imeshindikana basi waache tu UKIMWI ufanye kazi yake kwa wazinzi..
 
walah sheik hajatulia huyu, miss afrika miss bantu amekiriki kuwa na wazuri wazuri akarudiamara ya pili na ya tatu kuonyesha msisistizo.

nimemmpenda kwa kuwa muwazi sio mwingine anakemea kumbe ndani yake ni sizitaki mbichi hizi.

asante kwa kutuwekea hii haswa siku hii hii ni mawaidha madzuri walah
 
Last edited by a moderator:
Sasa mkuu Sikonge huyu shehe ndio kahubiri nini hapa,ama kweli kukosa elimu ni sawa na upofu,hivi ndio mahubiri yao yalivyo namna hii..

mimi nimempenda kwakuwa kasema ya ukweli yaliyo moyoni mwake kama ndio uko msikitini na unajua kuwa mke wako kajaaliwa huko nyuma hakuwa hivyo ndio mwanzo wa kumpiga marufuku kwenda msikiti maana shekhe hapo katangaza dhairi shairi kuwa akiwaona tu wanawake wa namna hiyo basi sifa na utukufu ataurudisha kwa mnyazi mngu
 
Last edited by a moderator:
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom