Sijui kwa nini anashindwa kufanya hivi na wakati inawezekanaNdio maana haujawa madam President sababu ungeonekana unaenda tofauti na mfumo wa matajiri..![]()
Mkuu, huko juu kuna mfumo uliowekwa na bepari kwaajili ta kumgandamiza masikini.Sijui kwa nini anashindwa kufanya hivi na wakati inawezekana
😁😁😁 Tafadhari sana kijanaWakuu salamaa?
Raisi wa nchi ni mtu mkubwa sana na ana uwezo wa kufanya jambo lolote lile bila hata kushindwa