pongezi kwa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Rais Samia anastahili pongezi kwa aliyoyafanya

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo kwa humu jf, nimeweka hoja na swali "Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Kwa Aliyoyafanya, Anastahili Pongezi na Shukrani Stahiki!. Watanzania Wenye Shukrani Tumshukuru au Bado?". Juzi Ijumaa nimemsikiliza kwa makini...
  4. L

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  5. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Tanzania ya 10 bora kwa uchumi imara

    Chadema msipinge
Back
Top Bottom