Kila Mbongo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 296
- 393
Wanajifanya kama hayakutokea haya!Kuna bedui mmoja alijaza wapwa zake na wapigaji wenzake lakini hatukusikia mkilalamika!
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Wanajifanya kama hayakutokea haya!Kuna bedui mmoja alijaza wapwa zake na wapigaji wenzake lakini hatukusikia mkilalamika!
Kwani wakati juzi unashangilia aliposema anaanda mkeka ulifikiri anateua mabavicha?Mkuu ulitegemea kitu gani kutoka kwa hao maccm?
Ukimaliza kula lala kesho kanisani!Inaonekana Kikwete alikuwa na plan B yake baada ya kushindwa kumchomeka Membe.
Ndipo akamchomeka live Samia palepale Dodoma, siku hiyo yeye ndie alipendekeza jina la Samia.
Na hata Samia mwenyewe kwenye moja ya clip alieleza wazi kikwete alivyoenda kumtoa chumbani kule walikokuwa wamewekwa ili kusubiri matokeo ya kura za wajumbe.
Na kumleta ukumbini kutangazwa rasmi kama mshindi.
Ilhali kulikuwa na wajumbe wengi jinsia ya kike,ambao wangeweza kuifanya kazi hiyo (ya kwenda kumleta mwali ukumbini).
Sasa ni wazi kwamba huyu mama alikuwa main source ya taarifa nyeti za Kigogo14 kutoka Ikulu.
Kigogo alikuwa na bado ni Januari Makamba na hili liko wazi kwa jamii.
Siku ile wanazuga ziara ya Tanga, alikuwa na waziri Ummy mwalimu,na angalia anavyombeba Ummy pamoja na poor performance yake kwenye kila wizara anayowekwa.
Pamoja na scandal kibao zinazoanikwa kila uchao TAM8SEMI jimboni kwake.
Ile picha yake Makamba Bungeni Dodoma mbele ya jeneza la hayati JPM na maandishi aliyoyaweka chini yake, bado tunayakumbuka.
Teuzi za mawaziri wa Samia pia zina ujumbe wazi kwamba alikuwa si team ,JPM bali special project.
Kurudishwa Nape wizara ya habari ni project visasi kwa watu fulani inaandaliwa (mark my word).
Eeh Mola tuokowe watanzania.
Niambie sasa hao watoto wa dada wa Magu ambao mama amewatoa?Funga bakuli lako tunafungua nchi.... Kipindi cha pombe anajaza humo hadi watoto wa dada ulisema au kwa vile ni wa nyumbani?
Nasikia soon or later governor pia anaondoka pale BOTIkulu
Mkuchika
Utumishi
Mhagama
Ndejembi
Tamaisemi
Bashungwa
Silinde
Festo
Makamu wa Rais
Jafo
Hamis hamis
Sera Bunge
Pindi Chana
Nderiananga
Ajira na kazi
Ndalichako
Katambi
Fedha
Mwigulu
Chande
Ulinzi
Tax
Ndani
Masauni
Sagini
Katiba
Simbachawene
Pinda
Mambo ya Nje
Mulamula
Mbaruku
Kilimo
Bashe
Mavunde
Mifugo
Mashimba
Ulega
Ardhi
Mabula
Kikwete
Maliasili
Ndumbaro
Masanja
Nishati
Makamba
Byabato
Madini
Biteko
Kiluswa
Ujenzi
Mbarawa
Atupele Mwakibete
Godtlfrey Kasekenya
Viwanda
Kijaji
Kigahe
Afya
Ummy Mwalimu
Ole Mollel
Elimu
Mkenda
Kipanga
Maendeleo ya kamii
Gwajima dorothy
Mwanaidi Hamis
Maji
Jumaa aweso
Mahundi
Utamaduni
Mchengerwa
Gekul
Habari Mawasiliano
Nape Nnauye
Kundo Mathew
Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?Mlishaambiwa ina wenyewe sema mmeshupaza shingo.
Upinzani upi?Masauni ni wa znz pia
naona huu mwaka spika nae atoke tu znz
Waziri mkuu nae znz!
Hivi akina Kabudi, Mkuvi na wengine hata Majaliwa
si wajitoe ccm?
Kweli hii nchi imekuwa genge sasa!
Upinzani hii ndiyo nafasi pekee ya kuingia Ikulu
huenda Mungu amejibu maombi yenu
Cha msingi mleteni mtu sahihi!
Kabisa!Tutulie sindano ituingie
Nawadharau sana hao jamaa, yani wanafuata upepo kushinda hata bendera.Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?
Taja hao ndugu wa Magu, alafu twambie wako wapi sasa hivi?Magufuli alijaza ndugu kuanzia baraza,hazina hadi makatibu tawala akiwemo mwanaye wa kumzaa Ruth Magufuli ambaye ni katibu tawala wilaya ya Morogoro.
Hoffman Sanga mkwe wake Magufuli katibu tawala wilaya ya Mvomero.
Dotto James katibu mkuu hazina ili kurahisisha uchotaji wa fedha bila kuulizwa.
Haya mbona hukuhoji hadi ukae kuhoji leo?
Sio kwa waTanzania,abadan hilo halitatokea kamwe.Sasa tuibue hoja ya katiba mpya tushirikiane wananchi wote bila kujali vyama vyetu iwe mvua au jua katiba mpya lazima ipatikane
Mbona kama umepanicBaba yako ndio anaweza au? Wapi ulimpima akashindwa?
...Hawa Chadema walikufanya nini?...mbona unawashambulia sana?Mabavicha juzi mama aliposema anaandaa mkeka wa mawaziri yakawa yanaruka na kudemka yalifikiri sijui atawekwa Lisu na mbowe?