Maoni: Safu ya Baraza la Mawaziri haiakisi maendeleo, inaakisi nchi kumilikiwa na familia fulani zinazoamini bila wao hakuna Tanzania

Nadhan Sasa n muda wa kuonyesha rangi zao tu Wala wasijifiche

Awamu 4 inaongoza awamu ya 6

Sawa bwana hongeren wateuliwa keki yenu hii

Mwananchi acha kukaa ndan fursa zipo nying n aibu kijifungia ndan

Angalizo kufanya biashara kando ya barabara n kosa kwa Sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Awamu yenu ishaisha tulia
 
Masauni ni wa znz pia
naona huu mwaka spika nae atoke tu znz
Waziri mkuu nae znz!

Hivi akina Kabudi, Mkuvi na wengine hata Majaliwa
si wajitoe ccm?
Kweli hii nchi imekuwa genge sasa!

Siku bwana yule akitangulizwa na yeye kwa Baba
hakika nchi yetu itapiga hatua kubwa!

Upinzani hii ndiyo nafasi pekee ya kuingia Ikulu
huenda Mungu amejibu maombi yenu
Cha msingi mleteni mtu sahihi!
 
Nadhan Sasa n muda wa kuonyesha rangi zao tu Wala wasijifiche

Awamu 4 inaongoza awamu ya 6

Sawa bwana hongeren wateuliwa keki yenu hii

Mwananchi acha kukaa ndan fursa zipo nying n aibu kijifungia ndan

Angalizo kufanya biashara kando ya barabara n kosa kwa Sasa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Acha unafiki hao walioteuliwa wana tatizo gani? Nipe kashfa za hao wateuliwa ambazo zimethibitika kuliko kubwabwaja tu.

Kila Rais ana watu wake anaoamini watamsaidia sasa shida iko wapi hapo?

Hadi ateuliwe ndugu yako ndo uone Rais kafanya jambo la maana?
 
Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au zilizostaafu.

Hakuna ufanisi, ubunifu wala mikakati ndani ya baraza bali wamewekwa watu wakumsaidia Mhe. Rais kupiga kampeni kuelekea uchaguzi ujao.

Baraza la Mawaziri kwa kipindi hiki halipaswi kujazwa watu wa propaganda, inahitaji watu wakufikiri kuhusu maendeleo ya nchi yetu.

Baraza la sasa limerejesha fadhila Kwa timu Jk baada ya miaka mitano ya mateso. Naiona Tanzania maskini huko tuendako
Umesema miaka mitano ya mateso? Kwahiyo unakiri wazi awamu iliyopita iliwafanyia hila bila sababu watu hao ili mradi tu wateseke?

Kama ndivyo basi Rais wa sasa amebaini hilo kwamba walikuwa wachapakazi wazuri ila waliondolewa kwa hila za mtu mmoja tu hivyo kuwarejesha imekuwa ni haki yao.

Ulitaka ateuliwe nani ili upendezwe naye?
 
Tulieni, Chama Cha Mapinduzi kina wenyewe🍺
Yana mwisho, hakuna lililo la milele,sisi watoto tuliokulia mlo mmoja wa kulamangia nasi ipo siku yetu inakuja soon, kwa sasa wacha wenye keki mzoga timu wakenue meno 32 baada ya kuminywa makende kwa miaka 5
 
Mama uwezo mdg mno, washauri nao wanashauri kwa uwoga

Hakuna Baraza hapo zaidi ya vichekesho, watu walio pewa nafasi huoni uwezo wao wa kufanya lolote la maana ndani ya baraza/wizara aliyo pewa
Wenye uwezo ni akina nani na taja mambo ya tofauti waliyoifanyia nchi hii tofauti na waliopo?

Mfano Nape aliondolewa ofisini kisa tu aliunda tume ya uchunguzi wa matumizi mabaya ya ofisi ya Makonda. Je,hiyo ni haki kwako wewe?
 
Tangu nchi ibaki na Rais mstafu mmoja (Achana na mzee wetu ambaye hajiwezi kwa lolote), haina kabisa tofauti na nchi ya kifalme.

Hii nchi ni ya familia.
Unafiki mtupu. Kila Rais anateua watu anaoamini watamsaidia kazi pasipo kikwazo sasa unataka amteue nani ili uridhike?
 
Lukuvi Hana shida
Shida ni tishio kwa mzoga gang kwa kuwa alikuwa mfuasi wa Magu,waliondolewa wote ni wafuasi wa magu kindakindaki wao wamegoma kwenda na mama wa kaya, kaawacha akidhani ndio anaondoa kadhia kumbe kadhia ndio kwanza imeanza, hivi Kingu,Bulembo, Zungu,Kingwangwala pamoja na kuimba mapambio wee hawajapewa uwaziri ama kweli CCM ina wenyewe na wenyewe ni wenye baba zao, akina January,Nape,Ridhiwani( huyu ndio ajira ya kwanza rasmi kila kitu analetewa mezani kuanzia ubunge na sasa uwaziri)
 
Back
Top Bottom