Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Maoni na Ushauri kwa Joshua Nassari

Unapenda sifa za kuanzisha nyuzi za kinyume eh !!!. Huko ccm ndiyo kuna wabunge hawana habari na vikao . Angalia vizuri hao wabunge/wafanyabiashara walioko ndani ya CCM mahudhurio yao.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga muhimu ni kutoa taarifa........ndio maana Tundu Antipas Lisu hayupo bungeni lakini bado ni mbunge hii ni kwa sababu taarifa zake zinajulikana!
 
..Siyo kweli.

..Nassari anadai alihudhuria vikao vya September.

..Vikao vya Januari alitoa taarifa kwa simu ambapo aliongea na msaidizi wa Spika. Pia alindika barua pepe kwa Spika Ndugai akimtaarifu kuwa anauguza nje ya nchi.

..Sasa kwanini Spika amfukuze kwa utoro [ kikao cha november] wakati sheria inaelekeza adhabu ni kwa waliokosa vikao vitatu?
September kulikuwa na vikao gani?!
 
Mkuu hebu wakati mwingine tuache siasa za kijinga!
Nimemsikiliza Nasari kiukweli inaumiza sana halafu kibaya zaidi alitoa taarifa!
Lakini hebu tujiulize kulikua kuna ubaya gani ndugai angemuita akamsikiliza?

Leo ndio nmegundua kumbe Nasari alikua kwenye changamoto ya ndoa toka 2014 hawajapata mtoto!
Walio kwenye ndoa wanajua stress za hilo jambo ndio maana huyu jombaaa alikua kimya sana ....lisikie tu kwa mtu!
Ndugai hilo analijua hivi kweli ameishiwa ubinadamu kiasi hicho?
Kwa utawala huu wanaccm ndiyo binadamu wengine ni wapinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umakini wa safu ya uongozi wa CCM na watendaji wake ni dhahiri Nassari kama angekuwa huko basi angeshavuliwa uanachama mapema na Spika kupewa taarifa.

Pale bungeni kuna uongozi wa wabunge wa CCM ambao unafuatilia mienendo ya wabunge wake so utoro wa Nassari ungeshabainika mapema.

Tatizo la hivi vyama vidogo kila mtu ni kambale!
Wewe siku hizi ni miongoni mwa WAPUMBAVU maarufu JF wala hakuna anayekushangaa kwa thread ya KIZUZU kama hii maana umeshatoa nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwiga muhimu ni kutoa taarifa........ndio maana Tundu Antipas Lisu hayupo bungeni lakini bado ni mbunge hii ni kwa sababu taarifa zake zinajulikana!
Wewe ndiyo sikuelewi !!. Taarifa zijulikane halafu wauchukue mshahara na posho zake ?! Pia na matibabu. Wewe mleta vihoja unajipendekeza sana !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom