Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Hakuna wa kumpigia kura
Hakuna wa kumpigia kura
Mali ya mtu moja ndiyo sasa ngoja tunamuondoe Magu na ccm yake ili iwefundisho kwa chama chochote cha sisasa wajifunze kutofautisha nyazifa Rais asiwe mwenyekitiJiwe anakipelekesha ccm anavyo taka maana hakuna mtu wa kusema ekosea. Kila mtu anamuogopa kwa kuhofia kibarua chake kuota nyasi.
Ccm imekuwa ya mtu mmoja hata kama wanachama hawataki lkn hawana njia ya kuwasilisha maoni yao.
Ukweli tupuMali ya mtu moja ndiyo sasa ngoja tunamuondo Magu na ccm yake ili iwefundisho kwa chama chochote cha sisasa wajifunze kutofautisha nyazifa Rais asiwe mwenyekiti
Wafanyakazi jumla hawazidi million mmoja,Idadi ya wapiga kura nchi nzima million 29.Ukiondoa wafanyakazi wote wanabaki 28 million.Ni wazi wafanyakazi hawana ubavu mkubwa kama zamani kupinduwa matokeo.Hakuna wenye akili zao timamu wakapigia kura CCM ya Magufuli. Hata awe CCM, huo ndio ukweli MCHUNGU.
Miaka 5 hakuna nyongeza ya mishahara wala ajira mpya kwa vijana wetu waliomaliza vyuo..
Utawala wa hovyo sana huu.
This time around, we are not going to let them do that shit to uswakipata kura 30,000 zinakuwa 300,000
wakipata kura 300,000 zinakuwa 3,000,000
wakipata kura 3,000,000 zinakuwa 30,000,000 (zaidi ya hata idadi ya wapiga kura)
Chezea ccm wewe
Delete ccm Oct 28Nakitazama hali ilivyo ngumu mtaani, uchumi umekua mgumu kuna mama wanashinda barabarani na nyanya zao na mchicha kutwa nzima hawauzi wanarudisha nyumbani jioni, frame kibao za biashara zimefungwa maeneo mengi, Wafanya kazi wa umma wanalia maslahi duni, mikopo elimu ya juu kizungumkuti mitupu kuna vijana wanalia hawana ada...
Ccm imechokwa kila sehemu
soma utafiti wa yule jamaa aliyepokonywa pasipoti na kusingiziwa sio raia utaupataUtafiti wako huu kuwa Watu wameichoka CCM uliufanya wapi na lini Mkuu? Na je, hao hao Watu wako wamekuhakikishia wanawapenda Upinzani?
soma utafiti wa yule jamaa aliyepokonywa pasipoti na kusingiziwa sio raia utaupata
coz utakufa njaa bila yeye,lakini wakti ni ukutaSina muda huo Mchafu ila nina muda tu wa Kumpigia Kampeni Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Dkt. Magufuli ashinde na aweze Kuongoza tena.
coz utakufa njaa bila yeye,lakini wakti ni ukuta
Umekula kwa juhudi ya CCM wengi hata huo ugali uusikia kwenye bomba.Kwani ninapokula Ugali wangu na Maharage unakuwa umeandikwa CCM? Na ni hizi 'Akili' mbovu za Wapinzani ndiyo maana CCM inawashinda 24/7 tu.
Huyu anaangalia tweeter tu. Hajifunzi tu jinsi wajumbe walivyokuwa wengi hadi wanazidi idadi.Utafiti wako huu kuwa Watu wameichoka CCM uliufanya wapi na lini Mkuu? Na je, hao hao Watu wako wamekuhakikishia wanawapenda Upinzani?
Wewe niuluze habari za Chadema, habari za Act waulize kina@mcubicCHADEMA yako na ACT-Wazalendo wao wanakubalika kila sehemu?
Mkurugenzi wa Twawezasoma utafiti wa yule jamaa aliyepokonywa pasipoti na kusingiziwa sio raia utaupata