Maombi yangu wanajamvi umri umetimia

Maombi yangu wanajamvi umri umetimia

Huko kanisani unasali na wanaume tu? Na hata hivyo sidhani Kama kwenye katiba yenu hiyo mke anatafutwa kwa njia hii... Samahani nilikuwa nakukumbusha tu
 
Huko kanisani unasali na wanaume tu? Na hata hivyo sidhani Kama kwenye katiba yenu hiyo mke anatafutwa kwa njia hii... Samahani nilikuwa nakukumbusha tu
Umesoma vizuri na ukaelewa nilichokiandika au umepitia tu kwa juu ,ni vizuri kabla hujacomment soma vizuri na ikiwezekana Russia mara mbili na ongeza akili ya pili nyuma box ndio utapata cha kukoment
 
Sijui unakwama wapi tu yaani unataka mwanamke anayeamini Katika biblia na siyo anayekuamini WEWE?
Habarini humu!

Umri wangu umetimia hivyo nimeanza hatua ya kusaka jiko popote lilipo naombeni maombi yenu nipate mtu sahihi hadi tuzeeke wote.
CV yangu.
Umri: miaka 32
Elimu: shahada
Kabila:Nyaturu
Dini:Christian
Thehebu😛entecostal
Rangi:maji ya kunde
Urefu futi 5.4
Muonekano kama mnyarwanda fulani hiv

Nimuombae na sifa zake
Dini: Christian
Dhehebu: All Pentecostals church
Urefu: 4.7 or 5 na point
Kabila: lolote
Elimu: Yeyote
#Sifa kubwa kuliko zote ajuwe Mungu ni nani kwake, na ajue kuwa maisha ya mwanadamu hapa duniani kama mkristo katiba yetu ni biblia, najuwa hili kwa msomaji wa maandiko vizuri ukiifuata biblia vizuri hutakuja kukosana hata na serikali yako
#awe tayari kuwa mke wa maisha
#awe tayari mwaminifu kwa Mungu.
Ahsanteni naimani mtaniombea ila kama upo mdada una vigezo hivyo basi usiogope kunifuata PM ila ujiandae kwa maswali magumu
 
Sijui unakwama wapi tu yaani unataka mwanamke anayeamini Katika biblia na siyo anayekuamini WEWE?
Mkuu ukimpata anaeijua Biblia vizuri wala huwezi pata shida na mingine na atakuwa anajuwa wajibu wake kila kitu na kujua dhamani ya mme, japo najuwa kama huojui biblia au kama una ukristo wa kuridhi hapa unaweza pata shida kidogo ila wamwaminio Kristo wanaelewa
 
Nimesoma vizuri na nimeelewa ulichokiandika sema wewe ndiyo hujaelewa maana ya comment yangu. Dig dip in your Bible hakuna sehemu wameandika uweke vigezo vya mke unayemtaka. Swala ni kuomba na Mungu hukupa wa kufanana naye! Wala siyo kuja kuweka bandiko hapa. Kama unatafuta kiroho hapa umechemka ila Kama kidunia zaidi uko right. Nimeamua kukueleza openly kwasababu unajifanya hutaki kuelewa.
Umesoma vizuri na ukaelewa nilichokiandika au umepitia tu kwa juu ,ni vizuri kabla hujacomment soma vizuri na ikiwezekana Russia mara mbili na ongeza akili ya pili nyuma box ndio utapata cha kukoment
 
Back
Top Bottom