Maombi yangu wanajamvi umri umetimia

Maombi yangu wanajamvi umri umetimia

Habarini humu!

Umri wangu umetimia hivyo nimeanza hatua ya kusaka jiko popote lilipo naombeni maombi yenu nipate mtu sahihi hadi tuzeeke wote.
CV yangu.
Umri: miaka 32
Elimu: shahada
Kabila:Nyaturu
Dini:Christian
Thehebu😛entecostal
Rangi:maji ya kunde
Urefu futi 5.4
Muonekano kama mnyarwanda fulani hiv

Nimuombae na sifa zake
Dini: Christian
Dhehebu: All Pentecostals church
Urefu: 4.7 or 5 na point
Kabila: lolote
Elimu: Yeyote
#Sifa kubwa kuliko zote ajuwe Mungu ni nani kwake, na ajue kuwa maisha ya mwanadamu hapa duniani kama mkristo katiba yetu ni biblia, najuwa hili kwa msomaji wa maandiko vizuri ukiifuata biblia vizuri hutakuja kukosana hata na serikali yako
#awe tayari kuwa mke wa maisha
#awe tayari mwaminifu kwa Mungu.
Ahsanteni naimani mtaniombea ila kama upo mdada una vigezo hivyo basi usiogope kunifuata PM ila ujiandae kwa maswali magumu

Kila la kheri japo ulitakiwa kuja mwaka jana km ulitaka kuoa mwaka huu
 
Naona ajabu,sijawahi kusikia mtu mwenye urefu huo
Yani wewe mambo yako ni mengi kweli, nimepata concept ndio mana picha yako haikutoka studio kwasababu ulivuka normal size hata A4 isingetosha, we rafiki ni kiboko kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom