Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,391
- 59,148
Una urefu ngapi mama?Mimi mpentecoste aiseee ila urefu sasa
Una urefu ngapi mama?Mimi mpentecoste aiseee ila urefu sasa
Sidhani kama haya ni madhaifu[emoji848]...hizi ni features ambazo hazisemi weakness zako..Madhaifu yangu ni haya
1.sipendi kudanganywa
2.sijui kuongea sana
3.Napenda kucheka sana mda kufurahi ila mda wa kazi ni busy hadi kero
Mkaushie unamuharibia windo
Yaani futi 8 kwa 5 duh,ila atakua anasimama Kwa stuli tukitaka kukiss au ntakua napiga magoti [emoji3] [emoji3] ,mleta tangazo let's talk banaaUmepita vipimo vya mleta mada?
Haujakosea hata kidogoSidhani kama haya ni madhaifu[emoji848]...hizi ni features ambazo hazisemi weakness zako..
Anyways,soree ka niko nje ya mstari.
Nawewe ni ngongoti kama mimi dear[emoji3]Mimi mpentecoste aiseee ila urefu sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii..stuli itamuhusu magoti kila siku si mtihani dada mkubwaYaani futi 8 kwa 5 duh,ila atakua anasimama Kwa stuli tukitaka kukiss au ntakua napiga magoti [emoji3] [emoji3] ,mleta tangazo let's talk banaa
Hahaaa, humo ndani kutakua na vistuli vingi vingiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii..stuli itamuhusu magoti kila siku si mtihani dada mkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa, humo ndani kutakua na vistuli vingi vingiii
Una ft 8???Yaani futi 8 kwa 5 duh,ila atakua anasimama Kwa stuli tukitaka kukiss au ntakua napiga magoti [emoji3] [emoji3] ,mleta tangazo let's talk banaa
Angekuwa mwanamke wa Kinyarwanda tunajua ana uwezo wa kunyaza Sasa kwa mwanaume sijui ujiko wake [emoji16][emoji16][emoji16]Unyarwanda nao ni 'ujiko' mtaani?