Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,897
- 22,311
Huyo jamaa hapo kwa avatar ndio unataka kumtosa?Niko hapa
Huyo jamaa hapo kwa avatar ndio unataka kumtosa?Niko hapa
Huyu atakuwa Andunje ft 2:0Una urefu ngapi mama?
[emoji23][emoji23][emoji23] mbili kimo..Huyu atakuwa Andunje ft 2:0
Akikupa jibu niTagHivi ni kwanini mnawaita wanawake jiko?
Madhaifu yangu ni haya
1.sipendi kudanganywa
2.sijui kuongea sana
3.Napenda kucheka sana mda kufurahi ila mda wa kazi ni busy hadi kero
Una urefu ngapi mama?
Mwanamke ana sifa kibao na majina ya sifa kama hilo la jiko, japo siwezi elezea vizuri ila mwanamke ana nafasi kubwa sana akiwa kwenye ndoa, ukitaka kujuwa hilo tembelea nyumba ambazo hazina mwanamke ndani zilivyo hazina hata mvutoAkikupa jibu niTag
Urefu 4.7 to 5 mamaHata sijasoma tangazo nimejibu kwa kukuiga wewe jamani kwanj inatakiwa urefu upi?
Sawa mkuuMwanamke ana sifa kibao na majina ya sifa kama hilo la jiko, japo siwezi elezea vizuri ila mwanamke ana nafasi kubwa sana akiwa kwenye ndoa, ukitaka kujuwa hilo tembelea nyumba ambazo hazina mwanamke ndani zilivyo hazina hata mvuto
Yaani futi 8 kwa 5 duh,ila atakua anasimama Kwa stuli tukitaka kukiss au ntakua napiga magoti [emoji3] [emoji3] ,mleta tangazo let's talk banaa
Anamiliki heka 100 za Mbaazimy take, hapo kwenye CV yako weka pia net worth yako ya sasa
Umeamua tu kujikosesha mchumbaHuu urefu ukenikosesha mume, kila rakheri Mkuu, Mungu akutimizie haya ya moyo wako Amina.
Ndyo mwaya[emoji3] [emoji3] naelekeana na nguzo kabisaFuti 8???[emoji134][emoji134][emoji134]
Ndyo mkuu, vipi uko level hizo tunegotiate?Una ft 8???