Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,248
Hapana siwezi kufika ft8.Ndyo mkuu, vipi uko level hizo tunegotiate?
Siamini kama una ft8. Unajua Hasheem ana 7. Something unadhani unampita?
Hapana siwezi kufika ft8.Ndyo mkuu, vipi uko level hizo tunegotiate?
Mbona utakuwa mrefu wa dunia sasa?Yaani futi 8 kwa 5 duh,ila atakua anasimama Kwa stuli tukitaka kukiss au ntakua napiga magoti [emoji3] [emoji3] ,mleta tangazo let's talk banaa
Umenena vyema mana hawawezi kupika shahada na rangi ya maji ya kunde wakala dinner.my take, hapo kwenye CV yako weka pia net worth yako ya sasa
Naona ajabu,sijawahi kusikia mtu mwenye urefu huoNdyo mwaya[emoji3] [emoji3] naelekeana na nguzo kabisa
Unyarwanda nao ni 'ujiko' mtaani?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Abee!
Maombi yako yamejibiwa
Hivi niliomba eeh!! Hebu nikumbushe tena niliomba nini?