Imani ni niniUko sahihi...
kama huna imani lazima ushindwe tu!
Ipo siku utayaitaji ayo maombi....Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii.
Lakini uhalisia haupo hivyo.
Watu wanaomba kazi badala ya kujitengenezea fursa. Wanaomba uponyaji badala ya kutafuta matibabu. Wanaomba mabadiliko wakati hawafanyi chochote kuyaleta.
Maombi yanaweza kutoa faraja ya kiroho, lakini faraja si uthibitisho wa ufanisi.
Hatuhitaji kuomba suluhisho. Tunahitaji kufikiri kwa kina, sayansi, ushahidi, vitendo, na uwajibikaji.
Acha kusubiri msaada wa kimungu. Tatua matatizo ya kibinadamu kwa vitendo vya kibinadamu.
Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
😅😅,
Joanah hivi unajua chochote kuhusu intelligent bussines man maana kapotea sana, anaumwa au yuko bize
Ila mnapofanya uchawi mnakuwa na uhakika kwamba shetani yupo.Maombi sio kitu naunga mkono
Kwanza tunayemuomba hatuna uhakika kama yupo
Unaomba afya unaumwa
Ni bayana ya mambo yasiyoonekana.Imani ni nini
Ila mnapofanya uchawi mnakuwa na uhakika kwamba shetani yupo.
Wewe unasema hii?Watu tumekesha tukiomba Lissu aachiwe lakini wapi?
Unaomba upate nafuu ya maisha ndio unazidi kuwa maskiniMaombi sio kitu naunga mkono
Kwanza tunayemuomba hatuna uhakika kama yupo
Unaomba afya unaumwa
Maombi ni upuuzi mtupuMaombi ni kujipa faraja hewa kwenye nafsi, huku ukipoteza pesa (sadaka) kwa anayekuongoza kwenye maombi.
Maombi yangekuwa yanafanya kazi, Sadam, Gadafi, na wengineo wasingeuliwa, pia ata vita visingekuwepo.
Unaomba upate nafuu ya maisha ndio unazidi kuwa maskini
Mambo gani kwa mfano?Mjuba kuna mambo bila maombi hayawezakani, kuomba ni lazima
Mimi sio Muombaji ila naamini maombi yanafanya kazi
Vipi we washakugeuza tayari nini?Kaza makalio hayo acha shobo la sivyo utaendelea kugeuzwa pimbi wewe
Anayekwambia uombe ufanye biashara Ubarikiwe yeye biashara hafanyi na hizo baraka hana😂😂😂 hatari sana mkuu
Au labda mnazidiwa nguvu na wanaoomba aendelee kufungwa gerezani😁Watu tumekesha tukiomba Lissu aachiwe lakini wapi?
Rwanda wamepiga marufuku, watumishi/makanisa yasiyokuwa na sifa.Maombi ni upuuzi mtupu
Vipi we washakugeuza tayari nini?