Hapo unakuta simu ina password na dogo anajua kufungua. Yatupasa kuangalia sana watoto wetu maana wanaona vitu vinavyowazidi uzito wa ubongo wao
khaa.. sasa kwani majirani hawaombani kitu...?
Honey Faith picha si shida ila inategemea ni za aina ganiMhhhh!!huo ujirani wa kupeana picha sijawahi kuuona
Honey Faith picha si shida ila inategemea ni za aina gani
Usiende pale chini kuna mavumbi na kelele panda ghorofa ya pili kuna na baridi ya mzungu
Mhhhh!!huo ujirani wa kupeana picha sijawahi kuuona
wewe, unaishi wapi...? kwani picha tu....?
Naishi huku kijijini kwetu
Mshana Jr....kabanga....!!!