Mo Dewj kufanya kufuru dirisha dogo

Mo Dewj kufanya kufuru dirisha dogo

Manzoki ashakuwa mzee halafu yule ni mchezaji wa Mwenyekiti Mangungu. Dirisha dogo tutamsajili Fei Toto kama X-Factor wetu tuliyemkosa kwenye dirisha hili kubwa la usajili kwa msaada wa Jayrutty.

Mo hela haze ziko benki, hataki kuzitoa.
 
Dahhh ila pateli 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Atamsajiri nani Afrika hii ya siku hizi?
Hemu msaidieni kwa kumpa majina,
Kama mnafikiri ni rahisi hivyo:
Labda aende nje ya Africa kama Mamelodi anavyofanya sasa.

Mamelodi na Al ahly walishaachana na wachezaji kutoka West Africa siku hizi.
 
Back
Top Bottom