MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,820
- 5,822
Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone.
Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea.
Au akakemea tu hali ikakaa sawa.
Hii imekaaje na maombezi mengi ya kisasa?
Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea.
Au akakemea tu hali ikakaa sawa.
Hii imekaaje na maombezi mengi ya kisasa?