Maombezi ya dogo

Maombezi ya dogo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1425623761720.jpg
 
Mzazi ndo wa kulaumiwa na ndio mwenye makosa! Dogo bila kujua ukweli anaomba kikwelikweli

Hapo unakuta simu ina password na dogo anajua kufungua. Yatupasa kuangalia sana watoto wetu maana wanaona vitu vinavyowazidi uzito wa ubongo wao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom