Maombezi ya dogo

Maombezi ya dogo

Hapo unakuta simu ina password na dogo anajua kufungua. Yatupasa kuangalia sana watoto wetu maana wanaona vitu vinavyowazidi uzito wa ubongo wao

Na pia tuachane na haya mambo ya kumbeba shetani kila tulipo, kuna nuksi nyingine tunajitafutia wenyewe memory card moja hiyohiyo ina gospel, bongofleva video za uchi na picha zake na madhambi mengine kibao
 
Nadhan hapo dogo alikuwa ana muamkia father wake, zamani tulikuwa tunaamkia wakubwa kwa kuwashika kichwa, dah zaman sana
 
mpwa nipo mpwa si unajua oct shuguli nilienda kuchafua passport sehemu kidogo nikaingia arusha sasa tuijandae na uchaguzi mpwa upo??salamu kwa wote

Mungu ni mwema kabisa karibu tena Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Mpwa weekend njema
 

Attachments

  • BKB.jpg
    BKB.jpg
    69.5 KB · Views: 82
  • BKC.jpg
    BKC.jpg
    89.1 KB · Views: 88
  • BKD.jpg
    BKD.jpg
    99.7 KB · Views: 79
  • BKG.jpg
    BKG.jpg
    90.2 KB · Views: 84
  • BKL.jpg
    BKL.jpg
    84.5 KB · Views: 74

Similar Discussions

Back
Top Bottom