The last don unafahamu kitu kinaitwa karma?hivo hivo na deal zake za kuchinja paka kwa mdomo,katusua anakula kiulaini.....Bongo maisha ni uthubutu pekee ndio unaotakiwa fursa zipo za kutosha mkuu Mshana Jr.
Nifahamishe mkuu Mshana Jr.
Kijana mjasiliamali huyo Apologise lady anapiga hela za wajinga sio mchawi wala nini kaona fursa na kaitumia ipasavyo.Yaani sijui yukoje huyo kijana mwenzenu. kijana mdogo kuendekeza uchawi, pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
ohh asante sana mkuu,nimekupata......hivyo tutegemee kifo cha kitisho cha dr manyaunyau sio...?? lakini ametumia fursa mkuu ili maisha yaende au unaonaje?
The guy own daladala tena sio moja hapa mjinihivo hivo na deal zake za kuchinja paka kwa mdomo,katusua anakula kiulaini.....Bongo maisha ni uthubutu pekee ndio unaotakiwa fursa zipo za kutosha mkuu Mshana Jr.
Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Mashekulu mageni... kumbe na wewe ni Buddhist?Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Hapo ktk vifo vya wachinga nyama ama wauza nyama, daah nina mfano mby sn