Manyaunyau utahukumiwa..!!!

Manyaunyau utahukumiwa..!!!

Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Yeah sure......Karma is a bitch and never say never
 
ohh asante sana mkuu,nimekupata......hivyo tutegemee kifo cha kitisho cha dr manyaunyau sio...?? lakini ametumia fursa mkuu ili maisha yaende au unaonaje?
Kama bado uko JF fuatilia huyo jamaa yuko wapi sasa
 
Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
Hahahahahaa kaka mshana huyu mkuu kuna tetes alimpiga warabu mmoja milion kama mia kadhaa sasa ndan ya chezo la kupgana changa kuna watu waliipigwa changa wakaamua kuunguza pcha ishuikBumbuluka nasikia sasa yupo sero ila sina hakkka
 
Ni kweli yuko nyuma ya vyuma anakula ugali wa bure
 
Kwenye imani ya Budha kuna kitu kinaitwa (karma)cause and effect yaani ufanyalo leo ndio litaleta matokeo ya baadae(future)
Achinjaye atachinjwa
Atesaye atateswa
Auaye atauwawa
Atendaye mema atalipwa mwema! Chunguza vifo vingi vya wauza nyama havina mwisho mzuri...!! Manyaunyau atakufa kifo kibaya na cha mateso kwa matendo yake ya sasa
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] nalo neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom