Manyara: RC Munyeti apiga marufuku umoja wa watu wa Kilimanjaro mkoani kwake

Wewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.
Hahahaaaa, wachaga wasingekuwa huko unakoishi usingepata hata hyo akili iliyojaa usaha unayoringia kuandika utumbo humu. Zunguka tz yote ukikosa mchaga ujue hata mahali pa kula hapafai, wanakusaidieni kuondokana na upumbavu uliowajaa, wamehama kwao kwenda kutafuta maisha na wameweza wanawasokomezea maporini wwao wanaishi mjini, vijijini kwao mijumba ya kutisha.
Kwa ushauri tu dec 20-24 nenda segera na KIA uone mafuriko ya magari yakielekea uchagani utapata jibu
 
Vya Wairaq ,Wafyomi na Wamasai pia vifutwe,vinginevyo no sawa na kusema kuwa mkoa was Manyara in was makabila hayo tu.Ikifikia hapo ,je Wairak Wafyomi na Wamasai wanaoishi mikoa mingine hawatabughudhiwa huko?
 
Mlipokuwa mkijenga Mitandao ya kikabila hamku project mbeleni kuwa litakuja fumuka ? Yaani Tanzania Ina makabila 120 mkajiona wote 119 wajinga kasoro ninyi tu? Kuwa hayo makabila yote 119 hawajui umuhimu wa mitandoa ya kikabila kwa ajili ya kujipendelea kwenye ajira,vyeo,fursa ,tenda nk ? Hamkuliona Hilo kuwa mbeleni litawaletea shida?
Non sense. Ninyi mlikatazwa kuunda vyama vyenu? Wivu tu..

Mmechelewa hili jambo si LA kufutwa kws kauli za majukwaani
 
Hata waajiri wanajuwa ukitaka mtu wa kazi tafuta mtu from kaskazin. Tushindane kwa kaz sio chuki. Chagas ni moto... Hard and smart ndio maana kama hilo jamaa watalitoa makamasi... Kwkwkw
 
Wewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.

Ni kweli ardho hamna na migomba imechoka ila wanawakimbiza ninyi mabwege marathoni ya maendeleo.
 
Wewe dogo mimi nchi hii ninaifahamu yote, huko uchaggani unakolingia napafahamu sana, ni pa kawaida tu mtu unamiliki robo eka halafu unasema we tajiri
Tunazifahamu nyumba nyingi za udongo huko machame na migomba iliyochoka mashina kama mguu wa mbuzi mbona hamuonyeshi ? Kawadanganye wasiofika kilimnjaro maisha ni magumu sana ule mkoa. Mbona husemi kuhusu mazezeta wa huko Kishumundu na old Moshi ? Hui mkia ni kaa la moto kuishi, ardhi haitoshi, chakula maeneo mengi ni shida tupu. Acha kujiinua bila sababu, maisha ya waafrika wote tunafanana tu.

Nimesafiri nchi yote pia, tuseme ukweli sioni tofauti ta maisha ya Mtanzania wa Kilimanjaro na Kigoma au Mbeya, Wote kwa sehemu kubwa ni Maisha ya Ulimwengu wa Tatu, mijini somehow unakuta watu walau wana nyumba zile zimafanyiwa plumbing na watu wana maisha Standard,
Otherwise we have a long way to go.
 
Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Walikubagua au wamekuacha?

Nyie hangaikeni kulogana huko usukumani na kukikimbizana na umasikini
Watu wakipiga kazi kwa kunitafutia maendeleo yao nyie mnaanza kusema mara waizi, wakabila, wabinafsi.
Mbona hao wachaga wametapakaa dunia nzima
Wamitengeneza network yao ktk kujikwamua kimaisha huko waliko kuna shida gani?
 
Hata waajiri wanajuwa ukitaka mtu wa kazi tafuta mtu from kaskazin. Tushindane kwa kaz sio chuki. Chagas ni moto... Hard and smart ndio maana kama hilo jamaa watalitoa makamasi... Kwkwkw
Watu wa nje wote wanajua na huwa kabla ya kuingia mahali wanauliza nani anafaa kufanya kazi na nani hafai

Waswahili, lazy people, wajingawajinga wapo kwenye list yao wote.

Ndiyo maana mchaga anapigwa vita sana na hawa waswahili waaiojitambua
 
We nawe acha upumbavu wako,umezidisha masifa mpaka unakera!! Sijui mchaga gani mpumbavu hivi? Sasa hilo shetani likiona masifa ya kijinga kama haya ya kwako si linaweza ku justify ubaguzi wao dhidi ya wachaga? Au anaweza kupeleka pendekezo kwa mkuu ateketeze wachagga wote maana wanamkwamisha? Na si unajua jinsi yule mtu asivyowapenda? Hebu kaeni kwa adabu jamani,mpo hatarini mjue
Lile tayari lina chuki na wachaga tu eti wana maendeleo kuliko wao

Jitu lenyewe hata ramani ya Tz haliijui, leo linajidai linawajua wachaga

Chaga empire haikuanza leo wala jana
Imeanza karne na karne zilizopita

Kuzaliwa uchagani tu ni faida, ukikaa na mchaga ni faida
Mchaga always yuko positive in each n' everything

Aliyekuzidi ungana nae
 
Mnyeti kwa Lugha ya kwetu ni Mkia naamini kabisa katika lugha ya kwenu unaweza kuwa na maana bora zaidi.

Kuna clip inasambaa ya bwana Mnyeti akiwasema wachaga kwa ukabila(Eti anapinga Chaga Pride)Anasahau kwamba changa Pride ndio msingi wa Tanzanian Pride.

Ndugu yangu Mnyeti anakuwa na tabia za ajabu,tabia za wivu wa kimaskini anajenga hoja kwa msingi wa ufukara wake wa kifikra badala katika msingi wa usawa.Unaanzaje kuwakataza watu kuunganika,kushirikiana na kusaidiana?Hizo ethnic-tribal societies zina faida zaidi kuliko madhara...ni chachu ya maendeleo an makabila yote wanazo Hata wamasai wanazo,wamakonde wanazo,wasukuma wanazo hata wanyantuzu wanazo.

Kwa wengine hizi ni taasisi rasmi kabisa na kwa wengine ni taasisi zisizokuwa rasmi lakini zipo na hakuna awezaye kuzivunja.

RC Mnyeti aache wivu wa kike,kama kuna tatizo la kisheria au kiutendaji ambalo analiona kamakionogozi achukue hatue na kuwasimamia warudi kwenye mstari ila kama ni chuki chuki tu basi ajue kwamba hizo ni dalili za utapiamlo wa kisiasa.

Kama ameamua kuwakataza wachaga na makabila mengine kushirikana basi anaugua utapiamlo wa kisiasa na anajichanganya katika eneo ambalo kimsingi linaweza kuleta madhara zaidi kuliko faida.

Huwa najiuliza hawa wateuzi huwa wanapatikana kwa vigezo gani maana baadhi ya maamuzi yao utafikiri ni Mnyeti.
 
Hivi vyeo vyenyewe visivyo na qualifications ni vya kipuuzi tu, vinamfanya mteuliwa automatically ajipendekeze kwa aliemteua ili mkono uendelee kwenda kinywani, vinginevyo anapigwa chini fasta anatafutwa mwingine mwenye kiherehere zaidi!, iko siku katiba mpya itakuja kutuondolea huu upuuzi.
 
Anatekeleza maagizo ya bwanayule kuwashughulikia wachaga! Na wenye viherehere wengine!
Tatizo ni kwamba huwezi kuwashugulikia wachaga bila kuumiza wapare,warundi,watutsi n.k. kwani kila kabila lina jamii na ukileta hizo habari za ukabila unaweza kujikuta unawasha mto ambao huwezi kuuzima.
 
Imebainika kwamba hamshiriki ipasavyo kwa maana ya kuchangia fedha, rasilimali, n.k kwenye misiba ya makabila mengine. Kimsingi mnajibagua, na kwa kujibagua mnawabagua wengine.

Mnyeti yuko sahihi, na amefanya jambo jema. Na huyu Mnyeti siyo wa kwanza, pale UDSM kulikuwa kumeanza ujinga kama huo wa kuunda vikundi vya kikabila. Prof Rwekaza Mukandala alivifutilia mbali.

Kama mnataka kuanzisha vikundi basi viwe vya maeneo na viruhusu makabila yote ya eneo husika.

Viva Mnyeti viva! Hatutakj ukabila nchi hii
 
Katika kikao cha ushauri cha mkoa wa Manyara RCC, Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti, aliagiza pasiwepo na vyama vya wachaga na makabila mengine ambavyo havitokani na makabila asili ya mkoa huo wa Manyara.

Hatua hiyo imetokana na madai ya kuwepo kwa dalili za ukabila unaofanyika mkoani huo dhidi ya makabila yasiokuwa na uasili wa mkoa huo akisema ni marufuku kufanyika vikao hivyo.

Marufuku hiyo imesababisha kuvunjika kwa sherehe ya kufunga mwaka kabila la wachaga iliyokuwa imeandaliwa katika ukumbi wa jengo la maendeleo Kiteto kula na kunywa.

Kwa kawaida kila mwaka Wachaga, Wahaya, Wapare na baadhi ya makabila kama Wahaya na watu toka Mkoa wa Iringa hufanya sherehe, lakini safari hii kauli ya Mnyeti imefanya Wachaga waingie hasara kubwa baada ya kuandaa sherehe jana.

Kwa sasa sherehe iliyokuwa imebakia Kiteto ya kufunga mwaka ni watu wa Iringa, Wahaya na Wapare ambao sasa wameshachukua maamuzi ya kusitisha sherehe.

Tutaendelea kujuzana.
 
Sexless,
Wewe utakuwa huna kabila,Hivivikundi vya kikabila vinakuwa na majukumu mawili,kwanza ni kusaidiana katika majanga kama vile misiba n.k,na pili ni katika kuhamasisha maendeleo tulikotoka na kufahamiana.Sasa nyie ambao vikabila vyenu vimejaa uchawi,wivu,uchoyo na ufukara badili ya kujifunza na kusaidiana ndo mnatunisha minyeti yenu ili tu muweze kujisikia vizuri.Mnafikiri mkifungia ndo mtawafanya wasishirikiane au ndo mnajenga chuki za kikabila. zaidi
 
Kwani ili mtu akusaidie kwenye msiba ni lazima awe wa kabila lako tu? Hoja dhaifu hii.


Mlikotoka kuna kabila moja tu? Hoja mufilisi hii.

Mnyeti shikilia hapo hapo baba. Majitu haya yanaleta ukabila nchini.
Wewe akili zako ziko kwene mnyeti tu
 
Back
Top Bottom