Too low!
ukiachilia mbali kutowajibika kwake, una ugomvi wowote na huyu ndugu hadi umuombee kifo? Unajua siku ya kufa kwako?
Jamani tuache uzushi basi!
Mbona sijaona mahala K.A.M alipomwombea kifo huyu ndugu? Au macho yangu? Mbona kamwombea kwa MUNGU ampiganie ili apone haraka?!! Au ndugu wewe una ugomvi na K.A.M?
Mshaanza mambo yenu! Wewe ndo daktari wake?...ARV kwa huyo mzee zimedunda safari hii mana long time anauugua hako kaugonjwa ka kukosa kinga za mwili
Jamani tuache uzushi basi!
Mbona sijaona mahala K.A.M alipomwombea kifo huyu ndugu? Au macho yangu? Mbona kamwombea kwa MUNGU ampiganie ili apone haraka?!! Au ndugu wewe una ugomvi na K.A.M?
Sio uzushi!
Umechelewa kusoma thread ndugu yangu. Wewe unasoma leo wakati thread imewekwa jana, huwezi kujua aliandika nini. Hatuwezi kukurupuka kumlaumu kama maandishi ndio hayo yanayoonekana, tungemuunga mkono. Amehariri lile eneo ambalo alimtakia kifo chema huyu afande, ndio sababu pale chini ya thread yake kuna neno ...edited by.... MODS pia wamemsaidia kuhariri lile eneo ambalo tulimnukuu hiyo jana! Sio muungwana kabisa huyu jamaa.
adui yako muumbee apone ili unapofanikiwa ajionee kwa macho
Mimi nashangaa tu hao "wadudu" 500! Nakumbuka ni hapo hapo Aga Khani waliweza kuona wadudu wa idadi hiyo kwa Kamanda ZZK!Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU?.
ARV kwa huyo mzee zimedunda safari hii mana long time anauugua hako kaugonjwa ka kukosa kinga za mwili
Jamani tuache uzushi basi!
Mbona sijaona mahala K.A.M alipomwombea kifo huyu ndugu? Au macho yangu? Mbona kamwombea kwa MUNGU ampiganie ili apone haraka?!! Au ndugu wewe una ugomvi na K.A.M?
Ndugu yangu fitina hizo za Magamba wanahasira Fisadi wao anaumwa, is unajua mafisadi hapo wanazuga tu kwani kwavyovyote wenye hela Uswiss wana ombea Afe.
Yawezekana alibugia fake za madabida
Ndugu yangu fitina hizo za Magamba wanahasira Fisadi wao anaumwa, is unajua mafisadi hapo wanazuga tu kwani kwavyovyote wenye hela Uswiss wana ombea Afe.
.
Kama kuna ofisi inayowakwepesha mafisadi na mkono wa sheria nchini ni hii ya DCI. Imekuwa ikipoteza hata nyaraka muhimu kama za kagoda ili kuwanusuru. Pia imekuwa kikwazo kikubwa kwa Hosea kuwashitaki mafisadi papa.
.