Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,848
- 37,552
adui yako muumbee apone ili unapofanikiwa ajionee kwa macho
Lemutuz ana dipoloma ya Criminology, ndiyo mrithi wa cheo hichi.
Ile ya dola 2000 au ya kukaa darasani?
Lemutuz ana dipoloma ya Criminology, ndiyo mrithi wa cheo hichi.
Sasa ndiyo muda mwafaka wa kukumbuka kazi yake kwa Watanzania.............. kama atafanikiwa kurudi salama basi ajaribu kurekebisha makosa!!
Kisasi ni cha MUNGU,msimhukumu ilanafsi yake inamsuta kama alishiri si tu kumtesa ULIMBOKA bali hata kufumbia macho watu waliomtesa,tumombee apone ila tuendelee kumuachia MUNGU wale wote waliomwaga damu za watz wengi,baadhi ni Mwangosi,wafanyabihashara wa madini,waandamanaji (zanzbar,arusha,morogoro nk)
Lemutuz ana dipoloma ya Criminology, ndiyo mrithi wa cheo hichi.
MY TAKE:
Eah Mwenyezi Mungu Msaidie Kiumbe wako huyu apone haraka aje atutumikie watanzania kama alivyotutumikia Jana na juzi na kesho afanye hivyo,
Umzidishie maisha marefu aishi ili aine kesho na kesho kutwa.
Amin!
Kama kuishika kwenyewe ni kwa stahili hiyohiyo ya kulinda UFISADI ambao unakunufaisha wewe huko UGHAIBUNI ndio maaan povu linakutoka hapa.
Potelea mbali yeyeyote aje lakini my wish ndio hiyo, sawasawa DADA.