Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

Hivi huyu ndiye alie shiriki mchezo ule mchafu wa kutaka kumbambikia toto wa Mengi madawa ya kulevya!!
 
Ni wakati wake muafaka kuwaomba msamaha wote aliowabambika kesi, aliowatesa, na walio jela bila hatia. Pia atubu kwa kutowasaidia ndugu wa Mwangosi kupata haki yao, Dr Ulimboka, n.k Hatopata nafasi hiyo akifika ulimwengu wa roho !
 
Mlaria mpaka kutibiwa India. Kwani India kuna ugonjwa wa malaria. Pona haraka Manumba.
 
Albadir ya ponda iyoo..!chezea maruhani wewe..pole Manumba.Only Jesus Christ can save you..!
 
'action and reaction are equal but opposite'- zetu dua!
 
Jamani tuache uzushi basi!

Mbona sijaona mahala K.A.M alipomwombea kifo huyu ndugu? Au macho yangu? Mbona kamwombea kwa MUNGU ampiganie ili apone haraka?!! Au ndugu wewe una ugomvi na K.A.M?

Sio uzushi!
Umechelewa kusoma thread ndugu yangu. Wewe unasoma leo wakati thread imewekwa jana, huwezi kujua aliandika nini. Hatuwezi kukurupuka kumlaumu kama maandishi ndio hayo yanayoonekana, tungemuunga mkono. Amehariri lile eneo ambalo alimtakia kifo chema huyu afande, ndio sababu pale chini ya thread yake kuna neno ...edited by.... MODS pia wamemsaidia kuhariri lile eneo ambalo tulimnukuu hiyo jana! Sio muungwana kabisa huyu jamaa.
 
adui yako muumbee apone ili unapofanikiwa ajionee kwa macho

Ni uchovu wa uchunguzi wa mauaji ya Mwangosi,utekwaji wa Dr. Ulimboka na the like na mahitaji ya ripoti za hizo chunguzi pia nayo inaweza kuleta malaria Kali
 
Hakuna anayemwombea mtu augua,apate ajali na afe. We sympathize with Manumba's ill health and we pray to God Almighty so that he recovers soon.

Ila nintaka tu kusema kuwa hawa Wakuu wateule wa nchi hii wanapokuwa na afya zao wanakuwa JEURI SANA!Jeuri au kibri ya uzima kiasi kwamba wanawaona Watanzania kama hawana haki ya kuishi katika nchi hii. Matukio yaliyowahi kufanywa na kina RPC Kamuhanda wa Iringa, X-RPC wa Dsm Bwana Zombie na vituko vinavyoendelezwa sasa na kina KOVA,IGP Mwema na viongozi wengine wa Polisi hapa nchini.

Kwa kweli Jeshi la Polisi na viongozi wao wanapashwa kubadilika sasa.
 
Mnashauri afuate nani kati ya mwema machoni na Mokova. Maana huu kwangu mwaka wa sala tu kwa many'ang'anyi wa haki za binadamu.
Yaani kabla awajafa, wateseke ili adhabu yao ianzie hahapa hapa duniani.
Ning'ekuwa na uwezo ning'emponya Vengu nimweke moja wapo
 
Malaria gani hiyo ya kumlaza mtu ICU?.
Mimi nashangaa tu hao "wadudu" 500! Nakumbuka ni hapo hapo Aga Khani waliweza kuona wadudu wa idadi hiyo kwa Kamanda ZZK!

Kama hizo idadi za wadudu ni za kweli na kama idadi ya wadudu ni proportion na ukuwa wa malaria then naweza kuelewa mtu akiwa mahututi. Maana ukiwa na wadudu hata 3 tu, huwa wanasumbua sana mwili sasa ikiwa 500 ni balaa!
 
Jamani tuache uzushi basi!

Mbona sijaona mahala K.A.M alipomwombea kifo huyu ndugu? Au macho yangu? Mbona kamwombea kwa MUNGU ampiganie ili apone haraka?!! Au ndugu wewe una ugomvi na K.A.M?

Ndugu yangu fitina hizo za Magamba wanahasira Fisadi wao anaumwa, is unajua mafisadi hapo wanazuga tu kwani kwavyovyote wenye hela Uswiss wana ombea Afe.
 
Ndugu yangu fitina hizo za Magamba wanahasira Fisadi wao anaumwa, is unajua mafisadi hapo wanazuga tu kwani kwavyovyote wenye hela Uswiss wana ombea Afe.

.
Kama kuna ofisi inayowakwepesha mafisadi na mkono wa sheria nchini ni hii ya DCI. Imekuwa ikipoteza hata nyaraka muhimu kama za kagoda ili kuwanusuru. Pia imekuwa kikwazo kikubwa kwa Hosea kuwashitaki mafisadi papa.
.
 
Akipona nahesabu siku za maisha ya Jamii forum. Utasikia kwa habari za kiintelejensia
 
Back
Top Bottom