Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

Aende maana wameua wenzetu wengi sana huku wategemezi na family za wafiwa wakiisha maisha ya kubahatisha nawachukia POLICE
 
tunataka kujua kwa nini Kikwete amtembelee mara kwa mara??kuna siri gani hapo?


hujui kikwete na manumba ni pipa na mfuniko..kumbuka manumba uchafu wote wa viongozi na wafanyabiasha wakubwa yeye anao na ameukalia.
 
Dah! bado jamani...? Lazima niwemo tu kwenye kamati ya mazishi dadadekiiiiiii
 
Kumuombea binadamu mwenzio kifo ni ushetani
Nyie magwanda hamna tofauti na alqaeda

Usiwe kama kubwa jinga na wewe kwani wote wanaomtakia afe ni magandwa? Malipo ni hapahapa duniani aende zake huko!
 
dahh huyu sio bure kuna kitu kafanyiwa
na kuaga kote gamboshi na bagamoyo bado hajafua dafu kwa hawa mashetani weusi
huenda alitaka kulipua watu, DPP mwenyewe alikalia mafaili makubwa
pole Ngosha hebu pona haraka uje utubu utupe utueleze historia nzima
 
Tunamuomba allah suhhana wa taala amjaalie azinduke ili madaktari watoe ruhusa apelekwe India kwa matibabu zaid. Yaa allah mjaalie huyu mja wako, muondoshe katika hali ya ugonjwa aliyokuwa nayo na awe na afya njema. Aameen.
 
vipi hapa

Toxicity
Po-210 is highly radioactive and chemically toxic element. Direct damage occurs from energy absorption into tissues from alpha particles. As an alpha-emitter Po-210 represents a radiation hazard only if taken into the body. It's important to note that alpha particles do not travel very far - no more than a few centimetres in air. They are stopped by a sheet of paper or by the dead layer of outer skin on our bodies. Therefore, external exposure from Po-210 is not a concern and Po-210 does not represent a risk to human health as long as Po-210 remains outside the body. Most traces of it on a person can be eliminated through careful hand-washing and showering.
Po-210 can enter the body through eating and drinking of contaminated food, breathing contaminated air or through a wound. The biological half-time (the time for the level of Po-210 in the body to fall by half) is approximately 50 days. If taken into the body, Po-210 is subsequently excreted, mostly through faeces but some is excreted through urine and other pathways. People who come into contact with a person contaminated by Po-210 will not be at risk unless they ingest or inhale bodily fluids of the contaminated person.
 
wapi ameweka swala la dini?
kul nafsi dhalikatul mauti hili ni andika ktk kitabu cha kiislam watu hapa huwa naona ukiweka maanandiko yahusuanayo na dini wanakushambulia wewe na dini yako nadhani umenielewa.
 
Yes Mkuu!! Lazima ainamishe kichwa maana anajua si maradhi tu ni pamoja yale mafweza ya uswizi atiii!!! Usiahau ya balali. Huo ni mchezo wa kupotezana na kurudishana nyuma katika kazi. Hata Hosea wa TAKUKURU naye hoi!! Ni muda tu ndo utaamua....
Go Manumba go! Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.
 
Hofu yangu ipo katika mbinu za wanamihela ya uswisi kughiribu ushahidi kwa maana ya kuleta sababu zinazoongeza mbele muda wa uchunguzi kwa madai kwamba huyo ndg alikuwa anagonjeka hivyo uchunguzi haukuweza kwenda kwa kasi iliyotarajiwa. Otherwise, Kamuhanda need be the nxt.
 
kwa taarifa yako mie ni wa Simba wa Kabila la Yuda kweli naijua na imeniweka huru na kama haitoshi nimeiona njia na naifuata! sema jingine! au nikuongeze aya nyingine nini? usimwache mtu muovu aishi na wala usililie msiba wake! upo hapo?

hata Musa alimwua yule mmisiri kwa kumuokoa ndugu yake. Vivyo hivyo wana wa kwanza wa wamisri walikufa kama lipizo kwa mabaya waliyo watenda wana wa Ibrahim. Hivyo kumuombea kufa ni kunusuru wengine wasife wapate kupona. Kufa bwana Manumba.
 
may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
Mungu amsaidie apone haraka, kikubwa ampe Bwana Yesu maisha Yake.

Ila Kibol husomi vizuri Biblia, kwa uchache soma Zaburi yote ya 35 na 109. Hekima inatakiwa ktk kufafanua maandiko na wakati gani utumie andiko Hilo ni muhimu pia.

Anyway tunae Roho Mtakatifu Kutusaidia maana ni mwalimu.

Queen Esther
 
Last edited by a moderator:
Wewe hujui dini na huna unalosema hapa. Muhammad alisema nini kuhusiana na wanaopinga dini yake na jinsi ya kuwachinja bila huruma. Hapa ndipo unaona kuwa hakuna dini isiyomwombea marehemu kwenda motoni? Kwani ni dini gani nimetukanishe kama tutaacha ushabiki wa kijuha na kutojua hata hiyo dini? Au ni kwa vile nimetumia maneno ya kiarabu ambayo kwako ni uislam? Shame on you rudi madrassat ukasome kama siyo kukariri mwanangu Jaim.Samahani baba yenu huwa natumia lugha za kuudhi ili mchukie mwende shule muongee vitu vinavyoeleweka kama mimi baba yenu.
Wako Sayyidina Father of All Radhiallahu Annuhu.
Ahahahah..we mkuu hatari sana.
 
afe tu ye ndio nani kwanza.........hawa viongozi wanaonea sana wanyonge na yeye akaonje mahakama kubwa huko mbinguni
 
Ukiwa mzima hujui kama kuna kifo,ukiua hujui kama na wewe utakufa,.70% jf wanamuombea manumba afe.,ukiishi na wa2 vizur bas utaombewa mema.,sijui hapo alipo kama anajua watu wanamuombea afe,alaf ajiulize niko salama mbona wa2 hawanipend,kumbe kuna kifo,apige magot kwa Mungu wake atubu makosa yake..TUPENDANE UOVU USIZID MEMA,kuna hatar ya kutakasa maovu kuwa mema.,ni bora kuish mwenyew kuliko kuongoza wa2 ukashindwa kuwapa haki zao za msing.,laana yao itakutafuna..
 
Elungata acha uongo na vitisho vya kitoto. Umejuaje kuwa mimi ni christian? Kwa taarifa yako mie siyo dini yoyote ya kimamboleo. Simuombei kifo kwa vile anafanya kazi CCM au wapi. Nisemacho ni kwamba polisi wanaoua watu kama wadudu wakifa sawa tu. Mabosi wao na serikali inayohalalisha ukatili huu wakifa poa. Kama wewe ni mmojawapo uliye tu. Unaulizia elimu yangu ili ikusaidie nini? Kama ni kusoma nimesoma tu ndani ya Bongo na ng'ambo so what?

Deemn! I like your swaga faz ov ol! Husazi jiwe juu ya jingine! Hakuna kumung'unya maneno, its better kusema kiujazacho moyo usije ukawehuka eti unaogopa usionekane huna utu! Pyaaa! God knws how much people want hm dead! Yeah dead! Die manumba die as kila nafsi itaonja mauti ila ni pozi na style tu zinatofautiana!
 
Back
Top Bottom