Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

bora akabidhi ofisi akiwa bado anapumulia mashine ili Taifa lisiingie hasara isiyo kuwa na ulazima
 
may almight god give your blessing to make him recover soon.

We appriciate that you can do something to him and for others who are suffering in different ways.

We bag that and consider our prayer will be considered v/s all name we usuall call you.

Amin.

tujipe moyo lakini mwisho wa yote yeye alie ataamua
 
Mbona jamaa kesha aga dunia toka jana ila jamaa zinaficha kuanika ukweli,source mimi mwenyewe kwa udadisi wangu.
 
ungetumia neno mungu wangu tofauti na wakwako nisingekujibu lkn kwa kuwa umetumia neno mungu wako sie wa kwetu, maana yake nashawishika kuisema ile kweli kwa niaba ya wengine. Uislam na ukristo yule wanaye muabudu huimiza uovu kulipwa kwa wema sasa kama ww hutokani na dini hizo na unakiu ya kuijua kweli ili hiyo kweli ikuweke huru. Jiunge na moja ya dini hizo ili shetwaini akae mbali nawe.

huyo anatumia imani ya cuf ya jino kwa jino sijui kama cuf nayo ishakuwa dini?
 
Habari za ndani za siri kabisa kutoka Agakhan Hospital zilizovuja na kunifikia asubuhi hii zinasema hivi, nanukuu.

''1/He is treated as case of Severe Malaria with high parasitemia(500ring form/200WBC) and AKI.

2/Blood parasites for Malaria were decreased to significant number after started iv medication.

3/Kidney function was shut off to almost 70% of it function.

4/He was on Coma state for more than 72hour, with GCS 6/15 up to now.(He was admitted at Agakhan with Unconscious state, GCS 8/15)

5/Since admission he was on Oxygen with ventillation machine full dependent, Dialysis on and off.

4/Pupils reaction to light......''

*Wataalamu wa afya hapa JF embu watufafanulie kidogo hayo maalezo tuelewe vizuri.

Kidney ikishafeli kwa uzoefu wangu wa kuuguza chances za kupona sifuri labda by grace of God
 
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.

duh. wewe ni noma kubwa. dah
 
Kama vipi atangulie tu mbele za haki....polisi wamezoea kuwatanguliza wenzao mbele za haki kwa nini wao wasitangulie???
 
Asiwadanganye mtu.kulazwa icu ya agha khani ni biashara kwa wenye hospitali.yani hta ukienda na kidonda cha kuosha unaingizwa icu.ile sio hospitali ni kitega uchumi tuu.madokta wao hawana ujuzi wa kutosha na ndio maana wamejikita kutoa huduma nyingine zisizo za kitabibu za hali ya juu kwa lengo la kuficha udhaifu wa kitaalamu.manumba inawezekana ni mzima kabisa labda ana uchovu tuu ila kwakuwa agha khani wanataka kutengeneza bill wamemweka icu.kama hamjui basi hapa agha khani kuna sio tuu icu(inensive care unit) lakini pia kuna ccu(yaani critical care unit) yote hii ni biashara.
 
Go Manumba go! Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.

may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
 
Last edited by a moderator:
... alipigwa bomu ... lazima ningekula platemoja na kinara wa.. Elungata, unajifanya kutokukumbuka maneno kama ,kitu chenye ncha kali, etc ya mwanzo kutolewa juu ya kifo cha mwangos. yalikuwa na maana gani? kesi inaendeleaje? eti ule platemoja na kinara wa mgomo. yap, ni rahisi kwasababu huwezi kui-handle serikali inayolalamikiwa. what an easy solution to our hospital problems! yaani watu sehem za kazi wanagoma halafu sis wananchi wengine tunawaua viongoz wa migomo! akili za ajabu!
 
Father of all mimi ni shabiki wako. Hawa jamaa walikuwa tayari kutumia resource za watz ipasavyo kuchunguza issue ya Kamanda Barlow kwa haraka na kuimaliza lakini issue ya Dr Mwakyembe, Mwangosi, Prof Mwaikusa na Dr wa jumuiya ya madaktari wanazipotezea. Wanaleta ushabiki wa kisiasa kila mahali. What goes around comes around!
Akipandacho mtu ndicho atakachovuna!
Ukiua kisiasa utakufa kisiasa!

Leo hii familia za wenzetu zimeacha mayatima na wajane kwasababu mnazozijua wenyewe halafu nyie mkiugua mnataka tuwaombee???

Angalia watoto wa Mwangosi, Aliyeuwawa na Ditopile, Prof Mwaikusa wanalia usiku na mchana kwasababu ya hujuma na uchumia tumbo wenu.

Hii 2013 father of all hakuna kumremba mtu, ni mwaka wa uwazi na ukweli!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mimi iko penda hii maneno
 
sio wamekufa tu, wengine wanateseka jela/selo kwa kesi za kubambikiwa na hawajui watatoka lini! they better go to Hell....
 
Wewe hujui dini na huna unalosema hapa. Muhammad alisema nini kuhusiana na wanaopinga dini yake na jinsi ya kuwachinja bila huruma. Hapa ndipo unaona kuwa hakuna dini isiyomwombea marehemu kwenda motoni? Kwani ni dini gani nimetukanishe kama tutaacha ushabiki wa kijuha na kutojua hata hiyo dini? Au ni kwa vile nimetumia maneno ya kiarabu ambayo kwako ni uislam? Shame on you rudi madrassat ukasome kama siyo kukariri mwanangu Jaim.Samahani baba yenu huwa natumia lugha za kuudhi ili mchukie mwende shule muongee vitu vinavyoeleweka kama mimi baba yenu.
Wako Sayyidina Father of All Radhiallahu Annuhu.

Mhhhhhhhhhhhhh!
 
Mzee wangu fatha of All. nimechelewa kukubali sina elimu ya dini hii kiislam wala krisoto nilenda shamba si unajua wakatii huu ni sina elimu kabisa imani hizo na kuna siku nitaenda shule. Ila niliposema usisababishe zikatukanwa dini za watu nimemeona humu JF akiingiza jambo la dini itashambuliwa hiyo dini mpaka sisi tunaeamini dini zote zipo kwania njema ila binadamu ndio tunaopotosha aidha kutojua au kwa makusudi inatukwaza sana. naona Zinedine kakurekibisha pale.
 
Kumuombea binadamu mwenzio kifo ni ushetani
Nyie magwanda hamna tofauti na alqaeda
ni kweli unachokisema!
Je inakuaje ukimuombea kifo binadamu asiye na 'ubinadamu' au binadamu mwenye sifa zote za kishetani au binadamu aliyekiuka misingi ya ubinadamu....?
 
Father of all mimi ni shabiki wako. Hawa jamaa walikuwa tayari kutumia resource za watz ipasavyo kuchunguza issue ya Kamanda Barlow kwa haraka na kuimaliza lakini issue ya Dr Mwakyembe, Mwangosi, Prof Mwaikusa na Dr wa jumuiya ya madaktari wanazipotezea. Wanaleta ushabiki wa kisiasa kila mahali. What goes around comes around!
Akipandacho mtu ndicho atakachovuna!
Ukiua kisiasa utakufa kisiasa!

Leo hii familia za wenzetu zimeacha mayatima na wajane kwasababu mnazozijua wenyewe halafu nyie mkiugua mnataka tuwaombee???

Angalia watoto wa Mwangosi, Aliyeuwawa na Ditopile, Prof Mwaikusa wanalia usiku na mchana kwasababu ya hujuma na uchumia tumbo wenu.

Hii 2013 father of all hakuna kumremba mtu, ni mwaka wa uwazi na ukweli!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
for those having a 'truth meter' just weigh these two comments and tell who is wrong! ...au ndio wahenga walisema "mkuki kwa nguruwe?"
 
isiitukanishe dini ya watu hakuna imani ya dini inaemwombea mgonjwa kufa wala marehemu kwenda motoni ndo maana baada kifo ni R.I.P

wapi ameweka swala la dini?
 
Mmetoa Siri za mgonjwa.....kwa uelewa wangu case ya aina hii ni relevant na Huyo mgonjwa and it is leading to brain damage ...if in the next 24 hrs to 48 hrs he will not be able to be conscious ...

uko sahihi kabisa philemon Mikael.....kama tayari ana renal shutdown ya 72% na GCS ya 6/15 na yuko oxygen dependant,there is no way to this patient to recover...lazima atapata brain damage tu!
 
Back
Top Bottom