Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

huyo anatumia imani ya cuf ya jino kwa jino sijui kama cuf nayo ishakuwa dini?
anaponzwa na ushabiki wakati hata hao viongozi anaowashabikia hawawezi kufurahia binadamu mwenzao kuteseka kwa maradhi. Mungu wetu ni mwenye upendo. huwezi kusema unampenda MUNGU usiyemuona huku unamchukia jirani yako.
 
tunaapa kwa miungu yetu , tunaomba kwa nguvu zetu zote miungu yetu itusikie ili mtu huyu afikwe na mauti, lkn je? nasisi tu wasafi mpaka leo hii kufikia kutoa maombi hayo yaliyokosa utu. haya na aliye msafi awe wa kwanza kum,,,,,,,,,,,,,,,
 
haya sasa wale wanaosema mambo ya ukabila sijui udini, acha watu wachukue ofisi. kufanya kazi sio holiday unakutana na mambo mengi.
 
kwahiyo kuombea watu kifo ndio CRITICAL THINKING HIYO?.
Kumbe mindset yako imebase kwa ulimboka.hata kama,alifanyiziwa na serikali basicaly hizo sio issue za CRIMINAL INVESTIGATION,hapo ungesema watu wa intellgence.
Tatiza una generalise,askari polis koplo akimtwanga mtu risasi,serikal yote unaiita wauaji.
Anyway sina sababu ya kumpenda huyo manumba after all jembe langu ponda bado yuko ndani.LAKINI SIWEZI KUMWOMBEA AFE TENA MBELE YA KANDAMNASI

kama hawakuchuku ahatua zinazostahili.....oooh yes!.......tena haiishii kwa akina Manumba na Mwema pekee.......responsibility hiyo inaenda mpaka kwa mkuu wa nchi.........je, unakumbuka sifa kubwa ya uwajibikaji ya Mheshimiwa sana Rais Mstaafu AlHaj Ali Hassan Mwinyi?............
 
tunaapa kwa miungu yetu , tunaomba kwa nguvu zetu zote miungu yetu itusikie ili mtu huyu afikwe na mauti, lkn je? nasisi tu wasafi mpaka leo hii kufikia kutoa maombi hayo yaliyokosa utu. haya na aliye msafi awe wa kwanza kum,,,,,,,,,,,,,,,
Kama wameapa kwa miungu hamna shida ila Mungu ni mmoja tu na kila jambo uliruhusu litokee kadri ya mapenzi yake.
 
kwani process za homecide investgation zinasemaje kwa kesi kama ya mwangosi,huyo alipigwa bomu la machozi mbele ya kandamnasi unahitaji uchunguzi gani tena wakati mambo yametokea mchana kweupe mbele ya watu na muuaji yuko ndani?hiyo ni open and shut case........

....how is that?.............kuna LIJITU......LI-NDULI.....kama Kamuhanda lina-enjoy life wakati kijana constable asiye na kosa anasota jela..............Mwangosi ameuawa kwa amri ya NDULI Kamuhanda aliyekuwa akishuhudia kwa karibu sana (akiwa kwenye gari letu....tena very expensive) na akijua madhara yanayomfika Mwangosi..........NDULI Kamuhanda ana kesi ya kujibu pia kuhusu ulemavu wa OCD aliyekuwa akijitahidi kuwazuia/kudhibiti vi-constable vilivyoamrishwa na li-NDULI Kamuhanda......ktk hali ya kushangaza.....kama hiyo haitoshi....JK juzi kwenye hotuba yake ame-support matumizi ya nguvu ya ile ya polisi........dah....

...ndio maana baadhi ya wananchi hawana huruma tena na hawa wakubwa wasio responsible for their actions......hivyo tusiwalaumu......bali tuwaelimishe..........

...kama wewe ulivyopotelewa na ndugu yako ktk mgomo wa madaktari.....reaction za watu ziko tofauti.........the only thing ni kwa SERIKALI ku-act RESPONSIBLY....tena sio kwa kuchagua (e.g kifo cha RPC Mwanza).......thats all......
 
My son Sabry001 you indeed are a lion like your daddy. Mijitu mingine minafiki. Inajifanya inamuonea huruma huyu habithi wakati ni hiyo hiyo inayolalamikia ukatili wa vijana wake. If he dies I will be as happier as nary before so to speak.Simpo and clear.
Deemn! I like your swaga faz ov ol! Husazi jiwe juu ya jingine! Hakuna kumung'unya maneno, its better kusema kiujazacho moyo usije ukawehuka eti unaogopa usionekane huna utu! Pyaaa! God knws how much people want hm dead! Yeah dead! Die manumba die as kila nafsi itaonja mauti ila ni pozi na style tu zinatofautiana!
 
mwache afe huyu bwana....amekalia kesi ya Dr.Ulimboka...na tena walitaka kumwua doctor hawa...watu wabaya hawa system.....Wanatesa watu hawa kwa manufaa yao....wacha nae apate maumivu....tena bora asife ila apate paralysis(alemae)ili ataabike kama wengine aliokalia kesi zao...na hata kuhusika kuwadhuru....Huyu bwana alishalalamikiwa hata na Dr.Mwakyembe...hivi ile kesi imeishia wapi????au watu mnasahau haraka hivyo humu jf????tuliandika sana wakati ule Dr.Mwakyembe anatoka magamba mwilini huyu jamaa alikuwa anapindisha tu maneno.....na kesi wala haijulikani ilikoishia.....Mwacheni nae ataabike kama kina Dr.Mwakyembe na Ulimboka......au haya nyie mmesahau???????..hamna siasa hapa.....period...
 
afe tu malabuku na akiponea kwenye tundu la sindano atakua na adabu. Wao wana silaha, pesa na majeshi sisi tuna Mungu. Kama wamemwakyembe ajue imekula kwake na sasa hv adhabu zote zitatolewa KIDIGITALI zaidi.
 
Ingekuwa malaria tunayojua angekuwa Apolo sasa hivi. Hii Malaria ina wadudu awajuao JK na kundi lake, alienda kupata maelezo ya mwisho.
 
manumba+jk.jpg
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Inspekta Jenerali wa Polisi katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumlaki Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Manumba aliyelazwa hospitalini hapo.

HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.


Source: Gazeti la Mwananchi

Hii ni kweli kichwa chini? mbona naona ni watu wenye furaha tu hawana huzuni yeyote, mwingine anacheka na mwingine kaweka mikono mfukoni.
 
Hii ni kweli kichwa chini? mbona naona ni watu wenye furaha tu hawana huzuni yeyote, mwingine anacheka na mwingine kaweka mikono mfukoni.

hakutegemea aliyoyakuta alitarajia angeambiwa aelekee makaburi ya kinondoni
 
DUh, Hivi Madaktari wa Kibongo huwa hawana maadili ya kitabibu ya kuwataka wasitoe taarifa za siri za afya ya mgonjwa/ Hali tete ya mgonjwa vyombo vya habari vinajuaje?
 
Kwani wamesahau vitendo wanavowafanyia madocta wetu, lazima tuwamalize mmoja mmoja huu sasa ndio utakua mgomo wetu baridi
 
mhnnn...binadamu bwana, hata akifa leo r.i.p utaziona kibao bila kujari wangapi wamepoteza haki/maisha mikononi mwa huyu jamaa.
 
Unafiki ni Mbaya sana... Sina huruma hata chembe kwa manumba.. Afe aka face judgement yake mapema Au aparalize milele muuwaji Mkubwa we
 
Back
Top Bottom