Zinedine
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,187
- 694
Samahani kdgo, ni 'Kullu nafsin' zaaa'ikatul mawt' siyo 'zalikatul'. Turejee kwenye mada, thanksevery soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.
Samahani kdgo, ni 'Kullu nafsin' zaaa'ikatul mawt' siyo 'zalikatul'. Turejee kwenye mada, thanksevery soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.
Mtaalamu sijakuelewa vizuri embu jaribu kufafanua vizuri zaidi hasa lugha.
*Kuhusu siri za wagonjwa sio issue hapa JF, kwani we dare to speak openly. Why siri za wagonjwa tu? Mbona siri za serikali, mahakama, Bunge, Mke, mume, misikitini, kanisani, vyama zinamwaga tu hapa
wewe umepotoka babalao.yani hata kwajina lako la bandia haiviti kuandika unayoandika.
Unajilet down sana asee,badilika usiwe mkereketwa wa siasa hadi kuloose logic.
Inaonekana ni mchanga sana katika mambo ya intelejensia, siyo lazima aue yeye. Anaweza ku enginia mauaji bila kwenda front unalijua hilo??? Mipango mingapi miovu inafanyika mbele ya macho yake??? Unajua madawa ya kulevya yanayokamatwa yanapelekwa wapi???
Jambl usilolijua achana nalo ni kama usiku wa giza kwako. Manumba mimi sioni usafi wake na zaidi ya yote naomba mapenzi ya Mungu aliye hai yatendeke lakini ukweli ndiyo huo.
Ieleweke hata Yesu aliomba kikombe kile kimpitie mbali lakini mwishoni akasema si mapenzi yangu bali yako ndiyo atendeke na kwa mujibu wa Bible alikufa kifo cha laana pale msalabani, kali kadhalika katika hali aliyonayo Manumba mapenzi ya Mungu yatendeke kama ni kufa au laaaah yote ni mapenzi yake.
hana anachokifanya katika ofisi yake zaidi ya kuvionea vidagaa go! go! go!Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.
Mdogo wangu Elungata jitahidi upate ka course kanaitwa "Critical thinking and logical argumentation"
Kwanini nasema hivi: Kwenye logics kuna kitu kinaitwa implication ni vizuri ukakijua pia.
Pia uelewe kwa undani misingi ya uwajibikaji (responsibility).Mwajibikaji siyo lazima awe mtenda anaweza pia akawa aliinjinia na kushauri au kufinance.
Kuna swali moja nakuuliza juu ya DCI: Kwanini kwenye swala la ulimboka hajahojiwa hata mtu mmoja lakini la Kamanda Barlow halikuchukua hata 1 week kwa ushirikiano wa DCI wahusika wote wakakamatwa? Do you want to say Ulimboka na Barlow wanatofauti mbele ya sheria na haki za binaadamu?
Ukishajibu hapo nitaendelea kukupa changamoto bwana mdogo!
isiitukanishe dini ya watu hakuna imani ya dini inaemwombea mgonjwa kufa wala marehemu kwenda motoni ndo maana baada kifo ni R.I.P
Kuna kitu kinanukia........
Mimi ni mgeni sana lakini bwana Elungata Manumba nisawa na Dr. Ulimboka pamoja na Mwangosi aliyeuawa na watu waliochini yake na yeye hakutaka hata kufanya uchunguzi kama alivyofanya kwa kamanda Barlow. Ukiona mtu anapiga kelele ujue kisu kimefika kwenye mfupa. Kumbuka mkiki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu kaka.mshaurini na dr wa ukweli awe anatafuta mda anatembelea wagonjwa na kuwafariji na wafiwa pia,humu duniani tunapita tu,hata uwe unavaa magwanda ipo siku nawe utakufa.unapokua mzima unajiona una immunity from death na kuanza kukejeli walio mahututi jua hata wewe utafuata njia hiyo.kwa kometi za kuombea watu wafe sijui utajisiaje nawe ukiwa umekufa alafu watu waanze kuzisoma .
labda Mungu wako sie wa kwetu ni jino kwa jino,mchubuko kwa mchubuko na kama haitoshi anasema auaye kwa upanga atauawa kwa upanga!MUNGU nakuomba muinue kiumbe wako alie taabuni, mapenzi yako yatimizwe wasamehe wote wenye kumtakia mabaya najua kuna kazi yako na ya shetani lkn hakuna aliye juu yako, watu wako wanajaribu kukusahau na kumkumbatia shetani Mungu mkuu wageuze watu hao wajue ubaya hulipwa kwa wema. wasaidie wasiishi kwa hisia , waishi kwa ile kweli itokayo kwako.
mshaurini na dr wa ukweli awe anatafuta mda anatembelea wagonjwa na kuwafariji na wafiwa pia,humu duniani tunapita tu,hata uwe unavaa magwanda ipo siku nawe utakufa.unapokua mzima unajiona una immunity from death na kuanza kukejeli walio mahututi jua hata wewe utafuata njia hiyo.kwa kometi za kuombea watu wafe sijui utajisiaje nawe ukiwa umekufa alafu watu waanze kuzisoma .
ungetumia neno Mungu wangu tofauti na wakwako nisingekujibu lkn kwa kuwa umetumia neno Mungu wako sie wa kwetu, maana yake nashawishika kuisema ile kweli kwa niaba ya wengine. UISLAM Na UKRISTO yule wanaye muabudu huimiza UOVU Kulipwa kwa WEMA sasa kama ww hutokani na dini hizo na unakiu ya kuijua kweli ili hiyo kweli ikuweke huru. jiunge na moja ya dini hizo ili shetwaini akae mbali nawe.labda Mungu wako sie wa kwetu ni jino kwa jino,mchubuko kwa mchubuko na kama haitoshi anasema auaye kwa upanga atauawa kwa upanga!
kwa taarifa yako mie ni wa Simba wa Kabila la Yuda kweli naijua na imeniweka huru na kama haitoshi nimeiona njia na naifuata! sema jingine! au nikuongeze aya nyingine nini? usimwache mtu muovu aishi na wala usililie msiba wake! upo hapo?ungetumia neno Mungu wangu tofauti na wakwako nisingekujibu lkn kwa kuwa umetumia neno Mungu wako sie wa kwetu, maana yake nashawishika kuisema ile kweli kwa niaba ya wengine. UISLAM Na UKRISTO yule wanaye muabudu huimiza UOVU Kulipwa kwa WEMA sasa kama ww hutokani na dini hizo na unakiu ya kuijua kweli ili hiyo kweli ikuweke huru. jiunge na moja ya dini hizo ili shetwaini akae mbali nawe.