Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

hapa mdo utagundua jinsi gani watu wamechoka!!....mi nasubiri yaliyotabiriwa yatokee,niwe na tiki 2 moja baada ya lingine
 
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.

Tatizo ni double standard kwenye sheria zetu ndio maana watu wanakuona wa ajabu. Polisi akiua hakuna anayelalamika wewe unamuomba mungu afanye kazi yake umeshakuwa mbaya!
 
Mbona hiyo picha inaonyesha vicheko na bashasha za Raisi na IGP au maana ya kichwa chini ni nini
Manumba kama atatangulia tutamkuta ni safari yetu wote na kama mkewe yupo amwite kiongozi wa kiroho atubu dhambi zake zote za kuamuru DR Ulimboka kuteswa na Mwangosi kuvurumishiwa marisasi tumboni na kuzikwa akiwa vipande vipande ,vinginevyo safari yake haitakuwa nyeupe atateseka sana bila ktubu dhambi hizo
 
Go Manumba go! Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.

Umenena mkuu,kila nafsi itaonja mauti,wasidanganywe na dunia
 
ee mungu mbona unamchelewesha baba muondoe ili maovu na uonevu vipungue angalau kwa uchache
 
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.

kama itatokea basi kwa utaratibu wetu, risasi zitapigwa, ni bora zikatumika siku hiyo au vinginevyo zingeweza kutumika kwa raia wasio na hatia
 
Wapo wengi wanaumwa si yeye tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Huyu tumuombee apone ili arudi ofisini kwenda kukalia mafaili ya mafisadi na kuwakingia kifua wasishtakiwe? Nadhani hiyo hapana. Nadhani bora aanzishe mwendo huenda atakayepewa ofisi akasimamia haki.
 
Naamini kwenye Job Description ya Raisi, hakuna kipengele cha kila siku kuacha kazi na kutembelea mgojwa. Inawezekana kiubinadamu ukafanya hivyo, lakini lisiwe ndio moja ya majukumu ya raisi. Vinginevyo kumbe uraisi ni kazi rahisi kiasi hicho!!!!!????
Rais naye ni Daktari hivyo anakwenda mara kwa mara kushauriana na madaktari wenzake namna ya kumsaidia/kumwokoa mgonjwa! Kuna ubaya gani?
 
Jamani, hamna hata kijana shushushu wakutu tumia japo ka picha
 
Mimi ni mgeni sana lakini bwana Elungata Manumba nisawa na Dr. Ulimboka pamoja na Mwangosi aliyeuawa na watu waliochini yake na yeye hakutaka hata kufanya uchunguzi kama alivyofanya kwa kamanda Barlow. Ukiona mtu anapiga kelele ujue kisu kimefika kwenye mfupa. Kumbuka mkiki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu kaka.

kwani process za homecide investgation zinasemaje kwa kesi kama ya mwangosi,huyo alipigwa bomu la machozi mbele ya kandamnasi unahitaji uchunguzi gani tena wakati mambo yametokea mchana kweupe mbele ya watu na muuaji yuko ndani?hiyo ni open and shut case.
Ulimboka,huyu jamaa na mgomo wake umesababisha watu wengi kufa .hao watu wana jamaa zao hata kwahiyo alikua ameshakua target ya revenge.hata mimi ndugu yangu angepoteza life kwenye mgomo huo lazima ningekula platemoja na kinara wa mgomo.vilevile hapo kesi ipo mahakamani
 
Mkuu sio kila mtu akienda hospitali kumtembelea mgonjwa ama mazishi basi anapenda media imuandike. Kutembelea mgonjwa ama kuhudhuria mazishi sio kazi za kisiasa ama kutafuta umaarufu. Nenda kimya kimya mjulie hali mgonjwa ama mfiwa ondoka. sio lazima dunia ijue ( wafiwa na wagonjwa) ndio wanaotakiwa kuthamini ukarimu wako na si wengine.
 
kwani process za homecide investgation zinasemaje kwa kesi kama ya mwangosi,huyo alipigwa bomu la machozi mbele ya kandamnasi unahitaji uchunguzi gani tena wakati mambo yametokea mchana kweupe mbele ya watu na muuaji yuko ndani?hiyo ni open and shut case.
Ulimboka,huyu jamaa na mgomo wake umesababisha watu wengi kufa .hao watu wana jamaa zao hata kwahiyo alikua ameshakua target ya revenge.hata mimi ndugu yangu angepoteza life kwenye mgomo huo lazima ningekula platemoja na kinara wa mgomo.vilevile hapo kesi ipo mahakamani
Kwa vigezo gani wale waliomuua Kombe waliachiwa huru?ditopile alimtwanga mtu risasi hadharani polisi wakadai kuwa ilikuwa bahati mbaya kesi ikawa closed,muuza magazeti wa moro polisi wakadai ni unknown flying object imeruka yenyewe kutoka katikati ya watu na kumuua,ya Mwangosi bado ni mbegu,in short polisi kwa msaada wa ccm wanafanikisha mauaji ya raia wengi wasio na hatia,manumba ni mmoja wao,siwezi kuwa mnafiki kumwombea kheri mtu katili,kwani baada ya kupona na kutoka hospital yaweza kuwa zamu yangu kutwangwa risasai na vijana wake au hata yeye mwenyewe
 
manumba+jk.jpg
...
Rais Jakaya Kikwete akiongozana na Inspekta Jenerali wa Polisi katika Hospitali ya Aga Khan ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumlaki Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna Robert Manumba aliyelazwa hospitalini hapo.

HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.

Source: Gazeti la Mwananchi
Na mwona mtu na shemeji yake sisi wafipa watu waliooa sehemu moja tunawaita vitwazi ndo hao sasa na vicheko, bashasha na matabasamu......cheza wewe naDORAHA......Pole wewe gamba kubwa japo hatima yako iko kwa muumba sio sisi tunaoteseka kwa madudu yenu ya kuchelewesha mafaili ya mafisadi.....sasa ukipona tu ndio kazi unayopaswa kuanza nayo
 
mshaurini na dr wa ukweli awe anatafuta mda anatembelea wagonjwa na kuwafariji na wafiwa pia,humu duniani tunapita tu,hata uwe unavaa magwanda ipo siku nawe utakufa.unapokua mzima unajiona una immunity from death na kuanza kukejeli walio mahututi jua hata wewe utafuata njia hiyo.kwa kometi za kuombea watu wafe sijui utajisiaje nawe ukiwa umekufa alafu watu waanze kuzisoma .

Si rahisi kama unavyofikiria. Marafiki ndio hujuliana hali siyo maadui. Kama mgonjwa ni adui wa demokrasia ya nini kupoteza muda kumtembelea?
 
Mbona anachelewa kufa huyu mtu?...

tulia mkuu nasikia na yule wa takukuru hoi,subiri kesho utasia wa mahakama,mara wa tume ya uchaguzi,mara dereva wa jengo la kuzomea dodoma, hee utasikia mara nyapara mkuu ,,,,,,, haya mambo mungu anafomula yake ...kama u msomaji mzuri wa agano la kale katika maandiko matakatifu utaona jinsi mungu alivyotoa mapigo kwa farao(CCM) na bado akawapa(CCM) roho ngumu ili wasiamani kinachotokea ili utukufu wa mungu udhihirike.....sifa na utukufu ni kwako wewe mungu mkuu uliyehai....Amen!!!!!
 
Back
Top Bottom