Manumba alazwa ICU Aga Khan

Manumba alazwa ICU Aga Khan

Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead. Mie nawakilisha watu kama Mwangosi. Sina jema na hawa polisi hata wakifa wakubwa zao wote I don't care. Sina huruma hata na serikali hata wafe wakubwa zake wote it won't move me. Wakipungua tunapata ahueni. Nadhani watu wengi wanaogopa kuonyesha hisia zao ima tokana na woga au unafiki.
We mshikaji wangu wewe sometimes duh! yaani uko serious kabisa
 
Kwani yeye haruhusiwi kwenda appolo?

inategemea na malengo yao kama wanataka apone ama afe maana wameshajifunza ukimuwahisha apollo anapona sasa dawa ni kumchelewesha..hata hivyo mwache atangulie ili Mwangosi afurahie..malipo ni hapa hapa usipokufa kwa bomu utakufa kwa BP au malaria
 
Nisivyo na imani na magamba, nahisi kama haumwi kuna mchezo wanacheza hapa. Daah, pole kwa wahusika lakini.
 
Why not kama wao wanaua watu kama wadudu? Let them die may be other goons will learn a lesson. I will be happy to hear that this boss of killers is dead.

yaani mawazo yangu na yako juu ya hili tuko pamoja na kama ningekuwa daktari ning'esha mmalizia..
 
HALI ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi (DCI), Robert Manumba bado ni tete na jana Rais Jakaya Kikwete alikwenda tena ikiwa ni mara ya pili mfululizo katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam alikolazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU), kumjulia hali.


source: gazeti la mwananchi

Watu wanapiga jaramba nafasi mbaya zaidi msaidizi wake ni mgonjwa zaidi ya miezi mnne sasa hayupo ofisini
 
Polen ndg jamaa na marafik, kama Jk alirud kwa mara ya pil ndan ya muda mfup, bas inawezakan hal yake imeendelea kuwa mbaya

Tiba chunguz iendelee, mana ofis yake ina maadui wengi hasa hasa ambao hawakutendewa haki, kwahiyo kuna uwezekano yasiwe maradh ya kawaida.!!

Naamini kwenye Job Description ya Raisi, hakuna kipengele cha kila siku kuacha kazi na kutembelea mgojwa. Inawezekana kiubinadamu ukafanya hivyo, lakini lisiwe ndio moja ya majukumu ya raisi. Vinginevyo kumbe uraisi ni kazi rahisi kiasi hicho!!!!!????
 
Tumechoka kusikia "hali ya manumba ni tete" sioni umuhimu wake unaomhalalisha kuwa hai mpaka leo tar19.01
 
Malaria inasingiziwa mno nadhani inafuatiwa na shinikizo la damu.
 
Father of all mimi ni shabiki wako. Hawa jamaa walikuwa tayari kutumia resource za watz ipasavyo kuchunguza issue ya Kamanda Barlow kwa haraka na kuimaliza lakini issue ya Dr Mwakyembe, Mwangosi, Prof Mwaikusa na Dr wa jumuiya ya madaktari wanazipotezea. Wanaleta ushabiki wa kisiasa kila mahali. What goes around comes around!
Akipandacho mtu ndicho atakachovuna!
Ukiua kisiasa utakufa kisiasa!

Leo hii familia za wenzetu zimeacha mayatima na wajane kwasababu mnazozijua wenyewe halafu nyie mkiugua mnataka tuwaombee???

Angalia watoto wa Mwangosi, Aliyeuwawa na Ditopile, Prof Mwaikusa wanalia usiku na mchana kwasababu ya hujuma na uchumia tumbo wenu.

Hii 2013 father of all hakuna kumremba mtu, ni mwaka wa uwazi na ukweli!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wewe hujui dini na huna unalosema hapa. Muhammad alisema nini kuhusiana na wanaopinga dini yake na jinsi ya kuwachinja bila huruma. Hapa ndipo unaona kuwa hakuna dini isiyomwombea marehemu kwenda motoni? Kwani ni dini gani nimetukanishe kama tutaacha ushabiki wa kijuha na kutojua hata hiyo dini? Au ni kwa vile nimetumia maneno ya kiarabu ambayo kwako ni uislam? Shame on you rudi madrassat ukasome kama siyo kukariri mwanangu Jaim.Samahani baba yenu huwa natumia lugha za kuudhi ili mchukie mwende shule muongee vitu vinavyoeleweka kama mimi baba yenu.
Wako Sayyidina Father of All Radhiallahu Annuhu.

kwani wewe una shule gani mwezetu.je dhamira haikusuti kumwombea mtu tena your fellow christian mauti.kwasababu tu anafanyia kazi kwenye serikali ya ccm.
Huh..wonder shall never end...yaani umeendekeza uchadema na siasa hadi utu umekutoka umekuwa na roho mbaya na ya kikatili hadi unafikia kuombea wagonjwa wafe.
Kha...!I feel sorry and ashamed to share the same planet with people like you.
 
Elungata acha uongo na vitisho vya kitoto. Umejuaje kuwa mimi ni christian? Kwa taarifa yako mie siyo dini yoyote ya kimamboleo. Simuombei kifo kwa vile anafanya kazi CCM au wapi. Nisemacho ni kwamba polisi wanaoua watu kama wadudu wakifa sawa tu. Mabosi wao na serikali inayohalalisha ukatili huu wakifa poa. Kama wewe ni mmojawapo uliye tu. Unaulizia elimu yangu ili ikusaidie nini? Kama ni kusoma nimesoma tu ndani ya Bongo na ng'ambo so what?
kwani wewe una shule gani mwezetu.je dhamira haikusuti kumwombea mtu tena your fellow christian mauti.kwasababu tu anafanyia kazi kwenye serikali ya ccm.
Huh..wonder shall never end...yaani umeendekeza uchadema na siasa hadi utu umekutoka umekuwa na roho mbaya na ya kikatili hadi unafikia kuombea wagonjwa wafe.
Kha...!I feel sorry and ashamed to share the same planet with people like you.
 
Elungata acha uongo na vitisho vya kitoto. Umejuaje kuwa mimi ni christian? Kwa taarifa yako mie siyo dini yoyote ya kimamboleo. Simuombei kifo kwa vile anafanya kazi CCM au wapi. Nisemacho ni kwamba polisi wanaoua watu kama wadudu wakifa sawa tu. Mabosi wao na serikali inayohalalisha ukatili huu wakifa poa. Kama wewe ni mmojawapo uliye tu. Unaulizia elimu yangu ili ikusaidie nini? Kama ni kusoma nimesoma tu ndani ya Bongo na ng'ambo so what?

Elimu yake darasa la nne enzi za nyerere. Endelea bwana Elungata
 
Ampe Mungu Rushwa! Yeye wakati anatumika alijua hakuna siku atakayolala kitandani!Malipo ni hapa duniani....Nafikiri wale ambao hawakutendewa haki hivi sasa ni sherehe kwao!
 
Back
Top Bottom