Manumba alazwa ICU Aga Khan

bora akabidhi ofisi akiwa bado anapumulia mashine ili Taifa lisiingie hasara isiyo kuwa na ulazima
 

tujipe moyo lakini mwisho wa yote yeye alie ataamua
 
Mbona jamaa kesha aga dunia toka jana ila jamaa zinaficha kuanika ukweli,source mimi mwenyewe kwa udadisi wangu.
 

huyo anatumia imani ya cuf ya jino kwa jino sijui kama cuf nayo ishakuwa dini?
 

Kidney ikishafeli kwa uzoefu wangu wa kuuguza chances za kupona sifuri labda by grace of God
 

duh. wewe ni noma kubwa. dah
 
Kama vipi atangulie tu mbele za haki....polisi wamezoea kuwatanguliza wenzao mbele za haki kwa nini wao wasitangulie???
 
Asiwadanganye mtu.kulazwa icu ya agha khani ni biashara kwa wenye hospitali.yani hta ukienda na kidonda cha kuosha unaingizwa icu.ile sio hospitali ni kitega uchumi tuu.madokta wao hawana ujuzi wa kutosha na ndio maana wamejikita kutoa huduma nyingine zisizo za kitabibu za hali ya juu kwa lengo la kuficha udhaifu wa kitaalamu.manumba inawezekana ni mzima kabisa labda ana uchovu tuu ila kwakuwa agha khani wanataka kutengeneza bill wamemweka icu.kama hamjui basi hapa agha khani kuna sio tuu icu(inensive care unit) lakini pia kuna ccu(yaani critical care unit) yote hii ni biashara.
 
Go Manumba go! Mwangosi will be happy to acclaim and receive you thither. Go Manumba and leave everything behind. Go and become a lesson that every soul will one day die. Kul nafsi dhalikatul mauti.

may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
 
Last edited by a moderator:
 

Mimi iko penda hii maneno
 
sio wamekufa tu, wengine wanateseka jela/selo kwa kesi za kubambikiwa na hawajui watatoka lini! they better go to Hell....
 

Mhhhhhhhhhhhhh!
 
Mzee wangu fatha of All. nimechelewa kukubali sina elimu ya dini hii kiislam wala krisoto nilenda shamba si unajua wakatii huu ni sina elimu kabisa imani hizo na kuna siku nitaenda shule. Ila niliposema usisababishe zikatukanwa dini za watu nimemeona humu JF akiingiza jambo la dini itashambuliwa hiyo dini mpaka sisi tunaeamini dini zote zipo kwania njema ila binadamu ndio tunaopotosha aidha kutojua au kwa makusudi inatukwaza sana. naona Zinedine kakurekibisha pale.
 
Kumuombea binadamu mwenzio kifo ni ushetani
Nyie magwanda hamna tofauti na alqaeda
ni kweli unachokisema!
Je inakuaje ukimuombea kifo binadamu asiye na 'ubinadamu' au binadamu mwenye sifa zote za kishetani au binadamu aliyekiuka misingi ya ubinadamu....?
 
may i beg to differ Father of All cuz imeandikwa "wapendeni adui zenu watendeeni mema wale wanaowaudhi"
for those having a 'truth meter' just weigh these two comments and tell who is wrong! ...au ndio wahenga walisema "mkuki kwa nguruwe?"
 
isiitukanishe dini ya watu hakuna imani ya dini inaemwombea mgonjwa kufa wala marehemu kwenda motoni ndo maana baada kifo ni R.I.P

wapi ameweka swala la dini?
 
Mmetoa Siri za mgonjwa.....kwa uelewa wangu case ya aina hii ni relevant na Huyo mgonjwa and it is leading to brain damage ...if in the next 24 hrs to 48 hrs he will not be able to be conscious ...

uko sahihi kabisa philemon Mikael.....kama tayari ana renal shutdown ya 72% na GCS ya 6/15 na yuko oxygen dependant,there is no way to this patient to recover...lazima atapata brain damage tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…