Naamini kwenye Job Description ya Raisi, hakuna kipengele cha kila siku kuacha kazi na kutembelea mgojwa. Inawezekana kiubinadamu ukafanya hivyo, lakini lisiwe ndio moja ya majukumu ya raisi. Vinginevyo kumbe uraisi ni kazi rahisi kiasi hicho!!!!!????
Habari za ndani za siri kabisa kutoka Agakhan Hospital zilizovuja na kunifikia asubuhi hii zinasema hivi, nanukuu.
''1/He is treated as case of Severe Malaria with high parasitemia(500ring form/200WBC) and AKI.
2/Blood parasites for Malaria were decreased to significant number after started iv medication.
3/Kidney function was shut off to almost 70% of it function.
4/He was on Coma state for more than 72hour, with GCS 6/15 up to now.(He was admitted at Agakhan with Unconscious state, GCS 8/15)
5/Since admission he was on Oxygen with ventillation machine full dependent, Dialysis on and off.
4/Pupils reaction to light......''
*Wataalamu wa afya hapa JF embu watufafanulie kidogo hayo maalezo tuelewe vizuri.
Kabla ya kumpa mgonjwa barua ya rufaa jopo la madaktari hukaa ili kujadili kama huyo mgonjwa atabenefit kwa kumpaa rufaa....
kwani wewe una shule gani mwezetu.je dhamira haikusuti kumwombea mtu tena your fellow christian mauti.kwasababu tu anafanyia kazi kwenye serikali ya ccm.
Huh..wonder shall never end...yaani umeendekeza uchadema na siasa hadi utu umekutoka umekuwa na roho mbaya na ya kikatili hadi unafikia kuombea wagonjwa wafe.
Kha...!I feel sorry and ashamed to share the same planet with people like you.
Elungata acha uongo na vitisho vya kitoto. Umejuaje kuwa mimi ni christian? Kwa taarifa yako mie siyo dini yoyote ya kimamboleo. Simuombei kifo kwa vile anafanya kazi CCM au wapi. Nisemacho ni kwamba polisi wanaoua watu kama wadudu wakifa sawa tu. Mabosi wao na serikali inayohalalisha ukatili huu wakifa poa. Kama wewe ni mmojawapo uliye tu. Unaulizia elimu yangu ili ikusaidie nini? Kama ni kusoma nimesoma tu ndani ya Bongo na ng'ambo so what?
sasa huyo robert manumba kamuua nani?wewe si ni mtu mzima kabisa tena unajiita babalao .lakini unaongea utumbo kabisa yani.au kwasababu unajua hautambuliki?even so ,maandiko yako yanaonyesha you are sick in the heard,UENDE UKAONANE NA DOCTOR before it is too late
Brain damage is clinically regarded as death...though using life support machine the heart function can be maintained for some time as long as kins wish.....General Sharon have been in life support for five years ....for the nature of parasites in blood and other ARD...it's not possible to keep that support long if not cured first
Mtaalamu sijakuelewa vizuri embu jaribu kufafanua vizuri zaidi hasa lugha.Mmetoa Siri za mgonjwa.....kwa uelewa wangu case ya aina hii ni relevant na Huyo mgonjwa and it is leading to brain damage ...if in the next 24 hrs to 48 hrs he will not be able to be conscious ...
sasa huyo robert manumba kamuua nani?wewe si ni mtu mzima kabisa tena unajiita babalao .lakini unaongea utumbo kabisa yani.au kwasababu unajua hautambuliki?even so ,maandiko yako yanaonyesha you are sick in the heard,UENDE UKAONANE NA DOCTOR before it is too late
isiitukanishe dini ya watu hakuna imani ya dini inaemwombea mgonjwa kufa wala marehemu kwenda motoni ndo maana baada kifo ni R.I.P
Nenda kalale maana hujui usemacho. Hivi mbwa akiiba anayeshitakiwa ni mbwa au mwenye mbwa? Kama una angalau chembe ya uelewa sasa utanielewa. Kwangu polisi ni kama mbwa na waliowafuga ni wakubwa zao. Manumba hawezi kukwepa kuwajibishwa. Afe tu.
Liwalo na liwe. Utendaji kazi wake hauna tija kwa wananchi. Hata akifa hakuna cha kupoteza !