nitonye
JF-Expert Member
- Dec 18, 2011
- 7,349
- 3,909
Kata tupa kule.....
aisee jina lako tamu sana nimelipenda
Kata tupa kule.....
Vin Diesel waswahili hawana just a friend wala ex wangu hapa bado unanipa mapigo yangu ya moyo kwenda kwa kasi ya ajabu.
Toa msimamo sasa ni Arushaone au Vin Diesel
Basi naomba niwafute woteeeeeeeee ubaki wewe kama mama watoto wangu,rafiki kipenzi na just a friend....
Hehehehee nikate mautamu?
We Lily Flower naona ushanichoka aisee