Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Mimi mzima Kipipi nawaangalia mabingwa wa MAJUNGU @ WORK. Mzima weye?
Wanatujazia server tu na majungu yao hapo wameshachakachua thread yote!
BTW, Mie mzima kabisa.
Mimi mzima Kipipi nawaangalia mabingwa wa MAJUNGU @ WORK. Mzima weye?
Dah pole sana aisee!
Leo ntakuja kukusaidia kidogo!
Halafu bora awe na Mamndenyi tu ila sasa mara kwa Lily Flower mara kwa marejesho (Usiku) mara kwa sweetlady na hakawii kwenda kwa my swthrt Kipipi (Hapo BUSHA litamuhusu)
Usijali hata hivyo bado muda kidogo tu utaimaliza.....!
Keep it up Kipipi