Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

kweli humu kuna vitimbi,ila kubali ombi bhana kijana Erickb52amejikaza kufunguka ukute amekunywa konyagi kuondoa aibu.
Heheheehee Asnam hujambo shem wangu?
Unataka Kipipi wangu akubali mara ngapi? Huyo sio Tiara bhana habadiliki tena kwanza wengine vimeo mbaya ye mwenyewe kawaona...halafu atapendaje wazee?
Mi ndio kijana peke yangu ninayemfaa...nitakayempa furaha za kweli lol
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom