Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Kwahiyo hayo ndo mazoezi mazoezi?
sex-sex-and-sexuality-33151327-500-330.jpg
sex-sex-and-sexuality-33151327-500-330.jpg

copy: Dena Amsi

Kweli mapenzi yanarun dunia....
 
Last edited by a moderator:
Ah wapi! nani kakuambia huku watu wanaenda server room? huku ni kujimwaga, akina Paw, PainKiller wakija huku ni kutalii tu wanaondoka
Kwanza huku hakunaga doria sema kama kuna waharifu wamehamia huku ndio jamaa huwa wanakuja kuona mienendo yao!
Halafu siunajua huku ndio kuna vimwana wao?
Heheheheee Paw akimmiss King'asti anakuja faster
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sasa Mungi si unaona hapo ni zoezi la kumuongezea pumzi aweze kuimba vyema
Erickb52 yeye hapo anaona kuwa ni kugandana sio bana
watu8 duh na wewe nakuanzishia jungu lako maana naona na wewe umeingia kwenye kundi la akina Mungi na Erickb52
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom