Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Manoah ni mfano wa Kuigwa JF

Wazee wa majungu utawajua tuu Erickb52 na mwenzake nitonye
Dena Amsi usiwasikilize hao huo ulikuwa utani tuu hakuna ukweli ni mimi na wewe tuu na nakupenda sana
Mhhh!!!!????? Mbona chemba na kaka yako waenda fanya nini huko Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Mungi niko na sweetlady hapa anasema amechoka hawezi hata kutype mazoezi ya leo yalikuwa makali sana
Vin Diesel tatizo unajitetea sana kuwa wewe sio penda penda wakati kuna Mamndenyi na bado unamfuatilia sweetlady
Erickb52 naona hujakama uzi wangu kuwa wewe ndo mwenyekiti wa chama cha penda penda
nitonye ukishaanza kufukuzia tuu unaingizwa kwenye chama

Mkuu nipo na mama watoto wangu Mamndenyi peke ake.. sweetlady hayupo tangu mwaka juzi....mbona unamkazania hivi? Umetumwa na Filipo nini?
Nakutuma sasa kwa marejesho kuwa nimemmiss sanaaaaaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
QUOTE=Vin Diesel;5374592]Siamini dada yangu kaingia hili chaka.....[/QUOTE]

Unaona sasa. Na wewe wataka leta majungu yako hapa
Vin Diesel huku marejesho anasema amekumiss sana hajakutia machoni siku nyingi sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom